Posts

Showing posts from May, 2022

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTOTUMIA TUMBAKU DUNIANI

Image
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto , Ummy Mwalimu , akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutovuta Tumbaku Duniani, mazungumzo hayo yalifanyika Ukumbi wa Habari wa bunge jijini Dodoma leoKushoto ni Meneja wa Kanda ya Kati wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)Seraphina Clephace Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ., akizungumza na wanahabari(kulia) ni Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa yasiyoyakuambukiza  Dkt, John Kiologwe Mbunge wa Nyangwale , Nassoro Amar, akiuliza swali katika kipindi cha Maswali na majinu cha asubuhi Mbunge wa Musoma Vijijini, Mwita Waitara, akiuliza swali kwa Waziri wa Nishati kwanini Umeme haujafika maeneo mengi ya jimbo lake Waziri  wa Nchi ofisi ys Waziri Mkuu George Simbachawene , akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Elizer Mbuki Fereshi, mazungumzo hayo yalifanyika ndani ya ukumbi wa bunge leo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa 

PICHA BUNGENI JIJINI DODOMA EO

Image
Naibu Spika Mussa Zungu (kulia), akifuatilia warsha ya Wizara ya Utalii iliyoa ndaliwa kwa ajilki ya wabunge kujionea maeneo mbalimbali yanayokabiliwa na wanyama wakali wanaokula mazao ya wananchi. Ilifanyika jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Riberata mulamula, asoma hotu alipokuwa akiwasilisha hotuba  ya bajeti ya wizara yake jana bungeni Dodoma. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe,kijbu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wabunge kuhusu wizara yake katika kipindi cha asubuhi cha bunge jijini Dodoma. Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, wakifuatilia hotuba ya bajeti ya wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliopokuwa ikiwasilishwa bungeni jana. Waziri wa Madini Doto Biteko akizungumza na wabunge wa viti maalum CCM, Oliver Semguruka(katikati) na Rozi Matembe.  

PICHA ZA KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS DODOMA

Image
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (wan ne kushoto) akisikiliza maelezo ya kuhusu mfumo wa majitaka unavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kushoto) ambao unachakata Majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. (Picha na Mpigapicha Wetu) KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (katika) akikagua mifumo ya kuchakata majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph  na Mkuu wa Kitengo cha Majitaka na Mazingira DUWASA, Daniel Mgunda. (Picha na Mpigapicha Wetu) KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (katikati) akisikiliza maelezo kuhusu mfumo wa majitaka unavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa

NMB - UDSM Cheque Handover story - ENG & SWAHILI

Image
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu ,  Sayansi na Teknolojia  Profesa, Eliamani Sedoyeka akimpongeza Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Dk Aldo Kitalika baada ya kumkabidhi mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni 20 iliyotolewa na Benki ya NMB kwa mshindi wa jumla katika Wiki ya maonyesho ya 7 ya Utafiti na Ubunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam . wa pili kutoka kushoto ni   Meneja Utafiti  Masoko na Ubunifu wa Benki ya NMB   , Prochest Kachenje ...... Caption ;  Permanent Secretary in the Ministry of Education, Science and Technology Prof. Eliamani Sedoyeka congratulating Dr.Aldo Kilalika after presenting him with a dummy cheque of Tsh20 mln after he emerged best innovator for 2022. 2nd from left is  NMB's Market Research and Innovation Manager Prochest Kachenje. NMN was the main sponsor of the recently concluded Research and Innovation week held at UDSM grounds.   NMB Bank offers 2om/- reward to UDSM ‘Best Innovator 2022’ By Staff Reporter NMB Bank on Thursday evening handed over a du

NMB na maadhimisho wiki ya unywaji maziwa kitaifa.

Image
  Meneja Mahusiano Idara ya Kilimo Biashara Berdon Mwakatobe (wapili kutoka kushoto)  akimkabidhi Katibu tawala wa  mkoa wa Katavi Rodrick Mpogolo Shati 300 zikiwa ni sehemu ya udhamini WA benki hiyo kwa ajili ya maadhimisho wiki ya unywaji maziwa kitaifa inayoadhimishwa mkoani katavi  kwa mwaka 2022. Kulia ni Mwakilishi WA Bodi ya Maziwa Tanzania Christabel Swai na Meneja wa NMB Mpanda Hygrace Mwanjuguja (kushoto) MWAKILISHI WA MENEJA WA NMB KANDA YA WESTER ZONE BERDON MWAKATOBE AKIMKABIDHI RAS WA MKOA WA KATAVI LODRICK MPOGOLO TISHETI 300  KULIA NI MENEJA WA BENK NMB MPANDA HYGRACE MWANJUGUJA,WAPILI KULIA NI MWAKILISHI WA MENEJA WA NMB KANDA YA WESTER ZONE BERDON MWAKATOBE,WATATU NI RAS KATAVI LODRICK MPOGOLO NA WANNE NI CHRISTERBEL SWAI   BERDON MWAKATOBE Akizungumza kwa niaba ya  Meneja wa kanda WESTER ZONE    NMB  YAPIGA TAFU WIKI YA UHAMASISHAJI  UNYWAJI MAZIWA KITAIFA MKOANI  KATAVI Benki ya Nmb imekuwa mdau wakubwa kwa upande wa serikali,  kilimo ,uvuvi na upande wa mifugo na n

NMB CEO Ruth Zaipuna awarded African Baking CEO of the year 2022 (Tanzania)

Image
  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mabenki Kenya Julius Alengo akimkabidhi tuzo Mweka Hazina wa benki ya NMB Aziz Chacha ambaye alipokea tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu Bora Afrika kwa Mwaka 2022 (Tanzania) kwa niaba ya Ruth Zaipuna ambaye hakuwepo, katika afla iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Nairobi.    Dar es Salaam. NMB Bank Chief Executive Officer - Ruth Zaipuna has been recognized as the African Banking CEO of the Year 2022 (Tanzania). Ms Zaipuna was recognized as such during the Africa Bank 4.0 Awards at a ceremony that took place at the weekend at the Movenpick Hotel & Residences in Nairobi, Kenya. Organised by BII World, the awards were part of the 8thAfrican Bank 4.0 Summit – CEO Exclusive.   BII World is a specialist provider of educational, research and consulting solutions to corporate and governmental organizations.   A statement, availed to the media from NMB Bank Plc headquarters in Dar es Salaam show that Ms Zaipuna was recognized for her individual credentials i

SHAKA AONGOZA MAPOKEZI YA MEMBE KWA KISHINDO NA KUMKABIDHI KADI YA UANACHAMA WA CCM.

Image
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya  CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka  HAMDU Shaka akimkabidhi kadi ya  CCM,aliyekuwa mgombea urais wa Chama  Cha  ACT Wazalendo, Bernard Membe aliyerejea  CCM, katika Mkutano wa mbunge   jimbo la Mtaka, Nape Nnauye katika Kijiji cha  Rondo, Mtaka mkoani Lindi  (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM). Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa  (NEC), ya CCM, Itikadi na Uenezi,  Shaka Hamdu Shaka akipokipokea  Kadi za Wanachama zaid ya 1600  Walio rejesha kadi za Vyama Vya  Upinzani katika   Mkutano wa mbunge  jimbo la Mtaka, Nape Nnauye katika  Kijiji cha Rondo, Mtaka mkoani Lindi  (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM).  

TotalEnergy Yaendelea Kuzalisha Mamilionea na Mabilionea wa Kitanzania Kupitia Mpango Mkakati wake DODO

Image
Mkurugenzi Mkuu Kampuni ya mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, Jean Francois Schoepp akikata utepe kuzindua Kituo cha cha mafuta   cha TotalEnergy eneo la Mapinga, Bagamoyo mkoani Pwani,   kinachomilikiwa na Mtanzania,   kwa utaratibu uitwao DODO.   Kushoto ni Mmiliki wa Kituo hicho Jakson Swai, katikati ni Mrs. Joyce Swai (Mke wa mmiliki). Hiki ni kituo cha 14 cha TotalEnergy kinachoendeshwa kwa mpango wa DODO, ambao ni Mtanzania kujengewa uwezo, kumiliki kituo cha mafuta na kufundishwa kukiendesha, hivyo kutengeneza mamilioneo wa Kitanzania. Mkurugenzi Mkuu Kampuni ya mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, Jean Francois Schoepp na Mmiliki wa Kituo hicho Jackson Swai,   wakijaza mafuta gazi mara baada kuzindua Kituo cha cha mafuta   cha TotalEnergy eneo la Mapinga, Bagamoyo mkoani Pwani,   kinachomilikiwa na Mtanzania,   kwa utaratibu uitwao DODO.   Kushoto ni Mkurugenzi wa   Mtandao wa vituo vya mafuta vya TotalEnergies, Marieme Sow. Uzinguzi huo um