Posts

Showing posts from November, 2015

MATUKIO LEO JIJINI DAR

Image
Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko wa Tamesa   Mhandisi Japhet Maselle, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya uendeshaji wa vivuko nchini, mazungumzo hayuo yalifanyika Idara ya Habari (MAELEZO)Jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Habari Wizara ya Ujenzi Segolena Fransis na katikati ni Mkurugenzi wa Ufundi na Umeme Wizara ya Ujenzi Dk. William Nshama   Mkurugenzi Msaidizi wa Maelezo Zamaradi Kawawa, akizungumza Wanahabari wakiwajibika Balozi wa Uingereza hapa nchini Dianna Melrose, akizungumza na Askari wa Kiingerza aliyepigana vita ya pili ya Dunia   Kapteni David Nickol Ex 6 KAR baada ya kuwasili katika mnara ya wa askari katikati ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kuweka shada ya maua iki ni kumbukumbu ya askari waliopoteza maisha yao katika vita vya kwanza vya Dunia vya 1914 na   1916 na 1939 na 1945 pamoja na vya Uganda na Tanzania vya 1978 hadi 1979. Kulia n i Meja Jenerali Issa Nassor kutoka Makao Makuu ya Jes