Posts

Showing posts from June, 2016

TAKUKURU NA TRA WAWABAINI WAKWEPA KODI

Image
 Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya mapato tanzania (TRA) Alphayo Kadata, akizungumza na wandishi wa habari kuhusu kugundua kuwepo na makampuni zaidi ya 300 yanayotumia risti hewa  za mamlaka hiyo na kukwepa kodi zaidi ya Sh Bilioni 300 kwa zaidi ya miaka 7 sasa, mazungumzo hayo yalifanyika makao makuu ya TAKUKURU leo jioni. kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valentino mlowola  Akisoma baadhi ya makapuni hayo  Mkurugenzi TAKUKURU, akizungumza  Valentino Mlowola, akisistiza wakwepa kodi wote wajisalimisha ama sivyo wataishia kwenye vyombo vvya sheria  Wanahabari wakichukua habari hizo

TUNDU LISSU AWAHANYESHA MAWAKILI WA SERIKALI KISUTU

Image
Mbunge Tundu Lissu, akiwapungia mkono wafuasi wa CHADEMA na UKAWA wakati akiletwa katika  mahakam ya hakimu Mkaazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayodaiwa ya uchochezi leo Kisutu  Akishuka kwenye gari  Polisi wa FFU, wakijipa jukumu la kuzuia wnananchi kuingia kwenye vyumba vya mahakama  wakati Tundu lissu akifikishwa  Akiwasili mahakamani  Lisssu na Mkewe Alicia Magabe Lissu wakingiam kwenye chumba cha mahakama  Askari akiwaelekeze pa kukaa  Wakionyesha Mapipoo mpoo tutahangaika nae  Malya, wakili wake akisalimiana na Lissu  Lissu na Mbowe wakisalimiana Akisalimiana na Wenje  Wakiteta kwenye chumba cha mahakama  Tundu Lissu, akiwa katika kizimba akiwasiliana na askari kabla ya kuachiwa kwa dhamana huku akitetewa na mawakili 11  Akizungumza na Mbowe akiwa kizimbani  Ukawa nje ya mahakama  Akizungumza na wanahabari kwa msisitizo akisema sasa ni muda wa huyu Dikiteta kuja kuthibitisha mahakamani kama siyo Dikiteta kwa magtendo

TMEA TANZANIA YATOA MSAADA KWA TBS LEO

Image
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango tanzania (TBS), Joseph Masikitiko, akizungumza katika hafla ya utiaji saini  msaada wa miundombinu katika viwango uliotplewa na TMEA kwa TBS. Hafla hiyo ilifanyika ofisni kwake jijini Dar es Salaam jana katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adolf Mkenda na Kushoto ni Mkurugenzi wa TMEA Dk. Josaphat Kweka  Maofisa wa TBS na TMEA waakiwa katika kikao hicho  Afisa Habari wa TSB Rhoida Andusamile (kushoto),akielezea utiaji saini huo  Dk. Josaphat Kweka, akizungumza katika hafla hiyo  Wakitia saini baada ya kuzungumza  Wakitia saini huku mamshahidi wakishuhudia utiaji huo  Wakibadilishana hati hizo baada ya utiaji saini  Katibu Mkuu Dk. Mkenda akizungumza Wakipiga picha ya pamoja baada ya hafla hiyo

MAONYESHO YA SABASABA PICHANI LEO

Image
  Mtendaji Mkuu wa Mahakama   Tanzania Bw. Hussein Kattanga akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Bi. Mary Shirima wakati wa maonyesho ya kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijin Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Bw. Hussein Kattanga akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Bi. Mary Shirima wakati wa maonyesho ya kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijin Dar es Salaa m Wanausalama wakiimarisha ulinzi katika viwanja vya sabasaba ili wafanyabiashara na wananchi waweze kufanya shughuli zao kwa amani Mwanafunzi kutoka chuo cha VETA wa pili kutoka kulia akiwaelekeza baadhi ya wananchi ubunifu wa kutengeneza boti itakayokuwa inatembea barabarani kwa kuendeshwa na dereva mpaka baharini