Posts

Showing posts from October, 2016

VYOO VYA MFANO NCHINI VICHAKANI BASI

Image
Mratibu wa Mradi wa usafi,afya yn mazingira kutoka Shirika la Maendeleo Karatu (KDA),Alfred Martin,akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani),moja ya choo cha mfano walichojenga katika eneo la Ofisi ya Kijiji cha Upper Kitete kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoa wa Arusha juzi,wakati walipokuwa wakitoa mafunzo ya umuhimu wa matumizi ya vyoo kwa wananchi wa kijiji hicho. PICHA NA JANETH MUSHI

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA MPINGO HOUSE DAR

Image
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri Katibu Mkuu wa  Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi baada ya kukagua akikagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni maalum ya  ya kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es salaam  PEMBE ZA NDOVU Rais Dkt John Pombe Magufuli akikagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni maalum ya  kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es salaam

MWADUI FC NA SIMBA

Image
Mchezaji wa Mwadui Fc, Shaban Abiom akiwania mpira na mchezaji wa Simba Sc, Mwinyi Kazimoto kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga jana. Picha na Lordrick Ngowi   Mchezaji wa Simba Sc, Shiza Kichuya akishangilia baada ya kuifunga Mwadui Fc kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga jana.   Golikipa wa timu ya Mwadui,Shabani Kado akiokoa mpira kutoka kwa mchezaji wa Simba Sc kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga Mchezaji wa Simba Sc, Janvier Bukungu akiwania mpira na mchezaji wa Mwadui, David Luhende kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga    Golikipa wa timu ya Mwadui,Shabani Kado akiokoa mpira kutoka kwa mchezaji wa Simba Sc kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga   Wachez