Posts

Showing posts from July, 2015

KIKWETE AKABIDHIWA SHAHADA YA SHERIA YA CHUO KIKUU CHA DSM

Image
Profesa Agnes Mwakaje wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimvika kofia ya kitaaluma Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Rasmi Rais Joho na cheti cha shahada ya heshima ya Doctor   of Laws(Honoris Causa) ikulu jijini Dar es Salaam leo.  Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akimkabidhi Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete cheti cha Shahada ya Heshima ya Doctor of Laws(Honoris Causa) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Rais joho na cheti iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na maprofesa waandamizi wa chuo hicho.Tayari Rais Kikwete alishatunukiwa shahada hiyo katika mahafali ya 41 ya UDSM yaliyofanyika Octoba mwaka 2011. Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepozi katika kiti baada ya kukabidhiwa  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandakla pamoja na maprofesa waandamizi wa chuo hicho muda mfupi baada hafla fupi ya

DK.MAGUFULI AKIWA ZENJI LEO

Image
  Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akipanada ndege kwenye Uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwenda Zanzibar kwa ajili ya utambulisho kwa wananchama wa CCM, leo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Mgufuli na mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan, wakiwapungia mikono wananchi, walipokuwa wakitoka uwanja wa ndege wa Zanzibar kwenda Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya utambulisho wa wagombea hao   Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Mgufuli akivishwa skavu baada ya kuwasili kwenye Ofisi Kuu  ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar, akiwa na mgombea wake Mwenza Samia Suluhu Hassan (wapili) kulia) kwa ajili ya Utambulisho kwa wana CCM Mgombea wa Urais kwatiketi ya CCM, Dk. John Magufuli (kulia) akishiriki kuomba dua alipozuru Kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Abeid Amani Karume, Kisiwandui mjini Zanzibar, alikowenda kwa ajili ya utambulisho kwa wana CCM   Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Mgufuli

DK.MAGUFULI KIDEDEA KUTOKA KANDA YA ZIWA

Image
 Askari wa Usalama wa Taifa wakiwa wamemzunguka Dk.John Magufuli, wakati akitangazwa kuwa mshindi wa kinyanganyiro cha kuwania urais kupitia chama hicho katika kundi la wanachama 38 waliolejesha fomu na kupitia katika mchujo wa chama hicho mjini Dodoma. Magufuli, wakiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu maalum kwa kumchagua  Akipongezana na Makamu wake Samia Suluhu Salum baada ya kumtangaza  Akiwahutubia wananchi wa dodoma katika uwanja wa Jamhuri baada ya kutangazwa na Rais Jakaya kikwete  Wananchi wakiwa katika mkutano huo  Rais Jakaya Kikwete, akiwapungia mkono wananchi waliofika katika uwanja wa Jamhuri  Makamu wa Rais Dk. bilal, akizungumza na Dk. magufuli Mzee wa Busra john Malecela, akizungumza na nape Kicheko cha ushindi tumewakomoa na tumetoka na ushindi, mangula, magufuli, Anne makinda. na Mizengo pinda

milioni 700 zakamatwa zikitakiwa kugawiwa wajumbe k

Image
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Chegeni, akiwasili makao makuu ya CCM, huku akida paataeleweka leo  Waliokuwa wagombea urais wakijiliwa Mmwiguru, Samuel Sittta, Lazaro na  Nyarandu  Salma kikwete, akimsalimia Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa  Wajumbe toka Tangam Morogoro mwakibadilish  mawazo ndani ya ukumbi wa mkutano white House  Nape Nnauye,akimsalimia Lowassa  Membe akimuomba kura yake  Lowassa  Ndani ya ukumbi wa mikutano  Ole Sendeka, akiwa katikam mkutano huo  akizungumza na mama KIKWETE Membe na Mama KIte Mambo makubwa hayajawahi kanyika baada  yajumbe kuimba wimbo tunaimani na Lowas  Mhasibu wa kampuni ya Manji akiepelekwa   kupekuliwa chumbani kwake baada ya kukamatwa na na zaidi ya Sh Milioni 700 aambazo zinadaiwa zilitakiwa kugawiwa wajumbe wa mkutano mkuu maalum kambi ya Lowassa kuidhooffi  Akiwa kwenye gari la polisi  Begi lenye hela zaidi ya milioni 400  Begi lenye fedha zaidi ya 200  Begi lenye he