Posts

Showing posts from March, 2023

WARSHA YA MFUMO YA STAKABADHI ZA GHALA KWA MAKATIBU TAWALA WASAIDIZI WA MIKOA NA WARAJIS WASAIDIZI WA MIKOA

Image
HOTUBA YA KATIBU MKUU WA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA (DKT. HASHIL ABDALLAH) ALIYOITOA UZINDUZI WA MATUMIZI YA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA KATIKA ZAO LA ILIKI PAMOJA NA MAFUNZO KWA MAKATIBU TAWALA WASAIDIZI (UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA) YALIYOFANYIKA KATIKA   UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO MOROGORO TAREHE 24 MACHI, 2023   -Ndugu, Katibu Tawala wa Mkoa, - Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, -Ndugu, Mwenyekiti wa Halamashauri Mhe. Diwani....... -Ndugu, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, -Ndugu, Waheshimiwa Madiwani wa Kata zote za Halmashauri ya Mvomero, -Ndugu, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala -Ndugu, Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji - Ndugu, Warajis Wasaidizi wa Vya Vyama vya Ushirika - Ndugu, Viongozi na wawakilishi wa Taasisi binafsi zinazofanya kazi na Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala, - Ndugu wanachama, viongozi na watendaji wa Vyama vya Ushirika -Ndugu Warati