Posts

Showing posts from September, 2015

UTAFITI WA UHAKIKA LOWASSA AMBWAGA MAGUFULI

Image
 Jiji la Dar es Salaam linaendelea kujengwa majengo ya kisasa tofauti na hapo kale hapa ni Mikocheni karibu na nyumbani kwa baba wa Taifa Jurius Kambarage Nyerere   Mkurugenzi wa Bodi ya Taasisi isiyokuwa na Kiserikali ya Tanzania Development Initiatives Program (TADIP) George Shumbusho Rwezahula, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utafiti wa taasisi hiyo ambayo   mgombea wa urasi wa Chadema kwa muungano wa UKAWA, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, ameibuka kidedea kwa asilimia 54 dhidi ya asilimia 40 za mgombea wa CCM Dk. John Magufuli. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni mtafiti Mwandamizi wa Taasisi hiyo Costantine Deus.  Wanahabari wakiwajibika  Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu Onesmo Ole Ngurumwa, akiuliza swali katika hafla hiyo

TUMEKUSIKIA RAIS LOWASSA

Image
  Mkazi wa Kijiji cha Matui wilayani Kiteto mkoani Manyara, akionyesha furaha yake wakati mgombea urais wa Chadema na   Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa),Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano kwenye uwanja wa Shule yaa Msingi Soweto

Tigona Reach for Change wazinduashindano la wajasiriamali jamii

Image
 Meneja Uhusano wa Kampni ya Tigo Tanzania  John Wanyacha akiwatambulisha wageni waalikwakwenye uzinduzi wa Changezimezinduashindanowajasiriamalijamiiliitwalo “Tigo Digital Change-makers”lenyelengo la kuibua mawazo ya kibunifu ambayo yatasaidiakutatutamatatizoyanayowakabiliwatotonavijananchini.  Wanahabari wakichukua abaadhi ya matukio Wananahari wakpat a yray Press Release Tigona Reach for Change wazinduashindano la wajasiriamali jamii Kil lamshindikupokeadolazakimarekanimilioni 20,000kwaajiliyautekelezajiwamradi wake. Dar es Salaam, Seeptemba 25, 2015 . TigokwakushirikiananataasisiyaReach for Changezimezinduashindanowajasiriamalijamiiliitwalo “Tigo Digital Change-makers”lenyelengo la kuibuamawazoyakibunifuambayoyatasaidiakutatutamatatizoyanayowakabiliwatotonavijananchini. MenejamkuuwaTigo Diego Gutierrez leoametangazauzinduziwashindanohilokatikamkutanonawaandishiwahabariuliofanyikajijini Dar es Salaam ambapoameto