UTAFITI WA UHAKIKA LOWASSA AMBWAGA MAGUFULI

 Jiji la Dar es Salaam linaendelea kujengwa majengo ya kisasa tofauti na hapo kale hapa ni Mikocheni karibu na nyumbani kwa baba wa Taifa Jurius Kambarage Nyerere


 Mkurugenzi wa Bodi ya Taasisi isiyokuwa na Kiserikali ya Tanzania Development Initiatives Program (TADIP) George Shumbusho Rwezahula, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utafiti wa taasisi hiyo ambayo  mgombea wa urasi wa Chadema kwa muungano wa UKAWA, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, ameibuka kidedea kwa asilimia 54 dhidi ya asilimia 40 za mgombea wa CCM Dk. John Magufuli. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni mtafiti Mwandamizi wa Taasisi hiyo Costantine Deus.




 Wanahabari wakiwajibika













 Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu Onesmo Ole Ngurumwa, akiuliza swali katika hafla hiyo







Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA