Posts

Showing posts from June, 2015

MSIBA WA MAX NA MATUKIO MBALIMBALI

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR   Vijana wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili Jijini Mwanza, Juni 26,2015, kundelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi na Uhai wa Chama mkoani Mwanza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Juni 27, 2015 kwa ajili ya kushiriki shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max   Aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Wanawake wa Chadema Wilaya ya Magu, Juliana Kachiru, akikabidh

DK. MENGI NA DK KIKWETE IKULU

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki waVyombo vya Habari (MOAT) Dk Reginald Mengi wakiongea na kubadilishanma mawazo Ikulu, Jijini Dar es salaam katika hafla ya kutunuku nishani kwa watumishi wa umma na wananchi waliofanya vyema na kwa uadilifu kwenye sehemu zao za kazi. Dk Mengi alikuwa mmoja wa watu mashuhuri walioalikwa hapo Ikul

TAMKO LA BARAZA LA KUVIFUTIA USAJILI BAADHI YA VYUO NCHINI

Image
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam(hawapo pichani)wakati wa kutangaza ubora wa elimu ya ufundi inayotolewa na baraza hilo.Baraza hilo limevifuta usajili vyuo  vitatu na kuvishusha hadhi vyuo kumi na sita.Kushoto ni Mkurugenzi wa Mitaala wa baraza hilo Twilumba Mponzi na Msaidizi wa katibu Mtendaji Alex Nkondola.   Wakurugenzi wa Manejimenti ya NACTE wakiwa kwenye mkutano pamoja na waandishi wa habari uliohusu kutangaza ubora wa Elimu ya ufundi inayotolewa na baraza hilo lilitangaza kuvifutia usajili vyuo  vitatu na kuvishusha hadhi vyuo kumi na sita.   Mwandishi wa habari kutoka kituo cha EAT, Noah Laltaila akimuuliza swali Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga kwenye mkutano  uliohusu kutangaza ubora wa Elimu ya ufundi inayotolewa na baraza hilo lilitangaza kuvifutia usajili vyuo  vitatu na