Posts

Showing posts from December, 2017

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM AZUNGUZIA MKAKATI WA KUIMARISHA JUMUIYA HIYO

Image
 Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapoinduzi Dk. Edmund Mndolwa, akizungumza na wanahabari wa gazeti la Mtanzania  nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam leo, pamoja na mambo mengine alizungumzia kuimalisha jumuiya hiyo ambayo miaka kama sita iliyopita ilikuwa inafikilia kufutwa baada ya kushindwa kujiendesha na baada ya uongozi wa Bulembo kukamata jumuoiya hiyo na wajumbe wake akiwemo mwenyekiti huyu wa sasa imeweza kusimama na kuanza kujiendesha. moja ya malengo yake ni kuiona jumuiya hiyo inakuwa kioo cha watanzania na shule zake kuwa kimbnilio la vijana kwa ajili ya maendeleo yao na maendeleo ya Taifa la Tanzania.Kwa maelezo zaidi fuatilia makala zake katika matoleo ya Gazerti la Mtanzania yanayotalajiwa kuanza kutoka kuanzia kesho.  Mwandishi Evance Magege, akihojiana nae leo nyumbani kwake  Picha zake mbalimbali wakati akizungumza na kunyanyambua jumuiya na Chama cha Mapinduzi chini ya jemedali wake Dk. John Pombe Joseph Magufuli kioo cha Watanzani

URA SACCOS YAKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITALI ZA JESHI LA POLISI

Image
 Kamishna wa Operesheni na Mafunzo kutoka Jeshi la Polisi nchini, NsatoMarijani   akizungumza kabla ya kupokea Vifaa Tiba kwa ajili ya Hospitali za jeshi la Polisi vilivyotolewa na Chama cha kuweka akiba na Kukopa cha URA Saccos  katika Hospitali ya Kilwa Road Jijini Dar es Salaam  Kamanda wa kikosi cha Afya nchini, Paul Kasabago akizungumza juu ya hali ya Vituo vya Afya vya Jeshi la Polisi nchini.  Kikosi cha Bendi cha Jeshila Polisi nchini kikitoa Burudani kwa watu waliofika katika hafla ya kupokea vifaa tiba kutoka URA Saccos  Naibu Kamishna Azizi Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Kuweka na kukopa cha URA Saccos  akizungumz akatika hafala hiyo yamakabidhiano ya vifaa Tiba iliyofanyiak Kilwa Road Jijini Dar es Salaam   Kamishna wa Operesheni na Mafunzo kutoka Jeshi la Polisi nchini, NsatoMarijani, akikata utepe kuashiria uzinduzi na kupokea Vifaa Tiba kutoka URA Saccos   Kamishna wa Operesheni na Mafunzo kutoka Jeshi la Polisi nchini, Ns