Posts

Showing posts from January, 2016

Jumuiya ya Mabohara nchini ya Baps Swaminarayan Santha wazindua kitabu na kutoa msaada Lugoba Sekondari

Image
 Marais wastaa wakibadilishana  mawazo walipokutana katika hafla ya Jumuiya ya Mabohara nchini ya Baps Swaminarayan Santha.  katika hafla ya uzinduzi wa kitabu   cha Transcendence kilichoandikwa na mwanazuoni wa India A.P.J. Abdul Kalam, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam  Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Subashi Patel, katikati yao akifurahia jambo  Viongozi wa Dini hiyo wakiwa katika uzinduzi huo  Mzee Andy Chande nae alikuwepo  Mzee Dk. Mengi nae alikuwepo katika uzinduzi huo  Wageni waalikwa wakishuhudia uzinduzi huo Sadhu Brahmavihavidas kutoka Indiaakihutubia  Wageni mashuhuri wakiwa mbele  Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, akimpatia zawadi Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwingi katika hafla hiyo  Subash Patel, katikati, akifurahia  Mwapachu nae akitoa zawadi  Mkuu wa Mkoa wa Said Meck Sadic, akimpatia zawadi Subash Patel  Filbert Bai, akimpatia zawadi mzee Chande  Emmanuel Nchimbi nae alikuwepo