Posts

Showing posts from July, 2017

MAHAFALI YA TANO YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA PICHA LEO

Image
 Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Jenelali Mabeyo, akisalimiana na maofisa baada ya kuwasili chuoni hapo leo kwa ajili ya mahafali ya tano ya chuo hicho cha kijeshi, chuo huiki ni pekee  cha mafunzo ya usalama na  stratejia ya Kitaifa na Kimataifa, wahitimu kutoka Afrika na China  Maofisa wa Jeshi la China wakiwasili  Wasanii wa kikosi cha sanaa cha jeshi hilo wakitoa burudani  Ofisi ya Mapokezi ya chuo jhicho Waziri wa ulinzi Hussein Mwinyi, akisalimiana na mmoja wa viongozi wa chuo hicho Balozi Kalaghe  Wakisubili kupokea wageni  Mgeni rasmi akiwasilim kwa ajili ya mahafali hayo Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seiff Alli Idd  Akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Balozi Martine Lumbanga Wahitimu wakisaluti  Wageni waalikwa ambao wengine ni mamwambata wa kijeshi kutoka nchi za nje wanaowakilisha nchi zao hapa chini Mwenyekiti wa Bodi akitambulisha mahafali hayo Makamu wa Pili wa Rai