Posts

Showing posts from April, 2015

MATUKIO MBALIMBALI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO KATIKA PICHA

Image
 MZEE MKAPA AKIWASILI NA MKEWE KATIKA MAADHIMISHO HAYO  Wake za Bilal wakiwasili kila mtu na gari lake  Magari yao  mlinzi wa kike wa Rais kikwete,akifuatia kwa nyuma Akikagua gwaride hata hivyo mlinzi wake kulia amekuwa kama wanakagua woto  Wakitoa heshima ya uaminifu kwa  rais  Ndege zikipita angani kwa mwendo wa pole  Askari wakiwa wamebeba bendera za majeshi  Askari wakipita kwa mbele ya jukwaa  Wamama askari wakiwa na bunduki na vifaa vya mawasilia ya anga Askari jeshi MP Mitambo ya kutungulia ndege  Askari wa JKT  FFU Askari komandoo nao hawakuwa nyuma  komandoo kwa mwendo wa kunyakua  Chipukizi wakionyesha vitu vyao  kwa pamoja kama ngedere mtini hawakuungua pamoja na kuwa na moto  Siyo bunduki ni magongo mfano wa bunduki wakiwa wamebeba chipukizi  kifaru