Posts

Showing posts from May, 2023

WABUNGE WATEMBELEA KWA WINGI BANDA LA EWURA

Image
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA ) Dkt. James Andilile, akimweleza jambo   Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Profesa Mark Mwandosya wakati wakiwasili katika banda la Mamlaka hiyo lililopo katika maonyesho ya Nishati yaliyopo viwanja vya bunge jijini Dodoma. katikati ni Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya bodi ya Mamlaka hiyo Harun Masebu. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA ) Dkt. James Andilile, akimweleza jambo Spika Dkt. Tulia Ackson, baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo Kulia ni Waziri wa Nishati January Makamba Dkt. James na Profesa Mwandosya, wakitoka kusikiliza bajeti ya Nishati Katibu Mkuu Wizara ya Nishati , Mhandisi Felchesmi Mramba, akibadilishana mawazo na baadhi ya Wakurugenzi waTaasisi zilizo chini ya wizara yake Dkt. James, akibadilishana mawazo na Mbunge Mwijage Waziri Makamba, akimweleza utaratibu wa vocha ya majiko ya Gesi S

WAZIRI PROFESA MKENDA AKUTANA NA KULA NAO CHAKULA CHA MCHANA WANAFUNMZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WAMA NAKAYAMA

Image
Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa wa kidato cha sita wa   Shule ya Sekondari   ya WAMA – Nakayama iliyopo Kijiji cha Nyamisati Wilaya ya Rufiji , Mkoa wa Pwani, baada ya kutembelea bunge leo na kuweza kusikiliza majadiliano ya bajeti ya wabunge  na kuweza kuzungumza na wabunge na mawaziri mbalimbali pamoja na mlesi wao ambaye ni Mwenyekiti wa WAMA ambaye pia ni mbunge Salma Kikwete Waziri Profesa Mkenda na Mwenyekiti wa WAMA Salma Kikwete, wakipiga picha na wanafunzi hao Wanafunzi hao wakiwa ndani ya ukumbi wa bunge wakisikiliza majadiliana ya wabunge Waziri Profesa Mkenda, akizungumza na uongozi wa shule hiyo Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, naye alipata muda wa kukutana nao  na kuwasihi wasome sana wajiepushe na mambo ya hovyo ya kidunia kwani wakimaliza shule watayakuta   

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MABANDA YALIYOPO KATIKA MAONYESHO YA WIZARA YA NISHATI

Image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa amevaa chombo cha kisasa akiangalia ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unavyoendelea mabpo umefika kwa asiliamia 90 kukamilika,  wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Waziri wa Nishati January Makamba, alipokuwa akilwelezea jinsi ya maonyesho hayo na faidia yake kwa wabunge na wananchi kwa ujumla wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati alipotembelea  maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,  Kulia ni Waziri wa Nishati, January Makamba.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nishati, January Makamba wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuja na Kushoka  Tools Manufactures Group, Leonard Kushoka (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Maofisa wa Wizara hiyo wakimsi

ZIARA ZA VIONGOZI WAKUU WA NCHI ZALETA MAFANIKIO YA KIUCHUMI-----DKT. TAX

Image
Waziri Dkt. Stergomena Tax na Naibu wake wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bunge , akitangaza kwenda kusomwa bajeti ya wizara yake  leo bungeni Waziri Tax , akieda kusoma bajeti yake Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax, akisoma hotuba ya bajeti ya Wizara yake leo jijini Dodoma Waziri akipiga picha ya apamoja na wadau wa wizara hiyo baada ya kupitishwa bajeti Waziri Tax akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Wizara yake Vita Kawawa Waziri akipiga picha ana familia yake   @@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@ Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambayo ndio Mratibu wa ushirikiano na uhusiano baina ya Tanzania na nchi nyingine duniani katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kijamii imesema kuwa, ziara za viongozi wetu wa kitaifa nje ya nchi zimeliletea taifa mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii. Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Dkt. Stergomena Tax ameyasema hayo leo jijini Dodoma w

WABUNGE WASHUHUDIA MAAJABU YA WIZARFA YA NISHATI KATIKA MAONYESHO YAKE

Image
Wananchi wakienda kujionea maonyesho ya Wiki ya Nishati yanayofanyika katika viwanja vya bunge Mbunge wa Kilwa Kaskazini Francis Ndulane (kushoto) na Mbunge wa jimbo la Igalula wilaya ya uyui mkoani Tabora Venant Protas, wakshjhudia kwenye chombo maalum jinsi bwawa la nyarere linavyokamilika kujengwa  karibu kwa asilimia 90. vifaa hivi vipo katika maonyesho ya nishati yanayoendelea viwanja vya Bunge jijini Dodoma Waziri wa Nishati, January Makamba (kulia), akizungumza na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby  katika maonyesho hayo Kushoto ni Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Geophrey Pinda Mabanda yanaonekana jinsi yalivyopangwa kwa mpangilio  mkubwa kwa kanda Wabunge wakipata maelezo kutoka  kwa maofisa wa wizara hiyo