WABUNGE WATEMBELEA KWA WINGI BANDA LA EWURA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dkt. James Andilile, akimweleza jambo   Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Profesa Mark Mwandosya wakati wakiwasili katika banda la Mamlaka hiyo lililopo katika maonyesho ya Nishati yaliyopo viwanja vya bunge jijini Dodoma. katikati ni Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya bodi ya Mamlaka hiyo Harun Masebu.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dkt. James Andilile, akimweleza jambo Spika Dkt. Tulia Ackson, baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo Kulia ni Waziri wa Nishati January Makamba



Dkt. James na Profesa Mwandosya, wakitoka kusikiliza bajeti ya Nishati

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, akibadilishana mawazo na baadhi ya Wakurugenzi waTaasisi zilizo chini ya wizara yake
Dkt. James, akibadilishana mawazo na Mbunge Mwijage
Waziri Makamba, akimweleza utaratibu wa vocha ya majiko ya Gesi Spika Dkt. Tulia kabla ya kumkabidhi

 Baadhi ya Wakurugenzi na Wenyeviti wa bodi wakiwa ndani ya ukumbi wa bunge wakisikiliza Bajeti iliyokuwa ikisomwa na Waziri Makamba

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.