Posts

Showing posts from June, 2017

UFUKWE WA COCOBEACHI WAFURIKA WAOGEREAJI LEO

Image
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiogerea huku wenguine wakipunga upepo jana, katika ufukwe wa Coco Beach katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el-Fitr  mmoja wa wafundishaji wa kuogerea akimtafuta mtu wa kufundisha, wengi wao wamedaiwa kuwalazimisha mapemzi wakiwa kwenye mafunzo hayo ndani ya maji yenye kina kilefu huku akimtishia kumwachia ili azame pindi anapokataa, wananchi wanatakiwa kuwa macho na wakware hao ,kwanini uende na mpenzi wako umwamini mtu kufundisha kuogerea huku mpenzi wako amevaa viguo vinavyomtamanisha mwalimu huku chuchu zikiwa wazi zikiwa zimelowanishwa na maji.

WAZIRI MKUU NA SALAM ZA IDD

Image
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa nasaha kwa waumini (hawapo pichani) waliohudhuria Swala ya Eid el Fitr na Baraza la Eid Kitaifa kwenye msikiti wa Masjid Riadha mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro tarehe 26 Juni, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally wakati wa stafutahi kwenye Ikulu ndogo ya Moshi, mara baada ya Swala ya Eid el Fitr na Baraza la Eid Kitaifa mkoani Kilimanjaro  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally mara baada ya stafutahi kwenye Ikulu ndogo ya Moshi, mkoani Kilimanjaro   WAZIRI MKUU AENDA KUHANI  KWA NDESA PESSA   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo, nyumbani kwa marehemu Dk. Philemon Ndesamburo, eneo la Kiboriloni, Moshi, mkoani Kilimanjaro   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa pole na neno la faraja kwa wanafamilia, nyumbani kwa marehe