Posts

Showing posts from March, 2015

WAFANYABISHARA KARIAKOO WAENDELEA KUIDINDIA TRA

Image
 Maduka ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, yakiendelea kufungwa kutokana na mgogoro na TRA na bu nge leo limeingilia kati mgogoro huo wanataka uishi ama sivyo nawao kwa sababu ni wawakilishi wa wananchi watawaaimbia wananchi wasilipe kodi kutokana na usumbufu wanaoupata na jinsi serikali isivyokuwa sikivu.  Wamiliki wakipiga soga  Muuza kandambili akisubili wateja katika mtaa wa tandamti kariakoo Wafanyakazi wa manispaa ya Ilala, kitengo cha maji machafu wakifikilia jinsi ya kuyaodosha maji machafu yaliyotuama  barabara ya Msimbazi sasa zaidi ya miezi miwili

HATIMAYE GWAJIMA ATOKA TMJ NA KUENDELEA KUHOJIWA KITUO CHA KATI

Image
Mgarai ya polisi, yakimgonjea Gwajima, aruhusiwe katika hospitali ya TMJ ili ende kituo cha kati jijini Dar es Salaam kuendelea na mahojiano yake na polisi ni kwanini aliamua kumtukana Askofu  Pengo na kusababisha taharuki kwa waumini wa kikatoliki nchini  tena matusi mazito.  Akitoka hospitalini TMJ leo huku akaiwa mdogo kama pilitoni  baada ya kuwaona maaskari wakimngojea Upo chini ya ulinzi, askari akiwaelekeza wasaidizi wake kumpeleka kwenye gari waliloliandaa wao  Akiingizwa kwenye gari la Polisi huku akilalama  Safari ya kuelekea kituo cha kati Wakikikunja kiti ili kiingizwe kwenye gari ili badae akifika huko akitumie tena Baada ya kuwasili kituo cha kati, akiongozwa na askari  Akiingizwa ofisini kwa mahojiano sijiu hatapata presha tena kama mwanzo  Wachungaji wake wakisubili nje  hata wachungaji wake wa kike walikuwepo

KAMPUNI YA TIGO TANZANIA YATOA ZAWADI ZA PASAKA KWA SHULE YA SINZA MAALUM

Image
Wanamuzki Fid Q na Menina, wakizungumza na wanafunzi wa shule ya Msingi Sinza  maalum, jijini Dar es Salaam, baada ya kuwasili shuleni hapo na wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Tanzania, kwa ajili ya kutoa zawadi za Sikukuu ya Pasaka Meneja wa Tigo tanzania, John Wanyancha (kulia0, akiwa na wafanyakazi wenzake wakisubili kukabidhi zawadi hizo  Baadhi ya zawadi hizo zikiwa mbele ya wanafunzi Afisa Mahusiano  na Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo Woide Sishael, akizungumza katika hafla hiyo Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo Tanzania Cecile Tiano, akizungumza na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sinza Maalum Simon Milolo, baada ya kufika hapo kwa ajaili ya kukabidhi zawadi kwa ajili yan sikukuu ya Pasaka, Hafla hiyo ilifanyika shuleni hapo juzi. Kulia ni Afisa  Mahusiano na Huduma kwa jamii wa kampuni hiyo Woinde Sishael  Meneja Mkuu, akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi  Akikabidhi ua kwa mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo pamoja na mwalimu wao Wanamuziki wakiwa