Posts

Showing posts from September, 2014

MAMBO NDANI YA UKUMBI WA BUNGE DODOMA NA NJE KUSAKA KURA ZA KUPITISHA KATIBA

Image
  Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar, Ali Juma Khatib akipiga kura ya siri kwa sura 10 za Rasimu inayopendekezwa ili kupata rasimu ya mwisho   Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Askofu, Amos Mhagachi, akizungumza Bungeni Dodoma jana alipopewa nafasi na mwenyekiti wa bunge hilo wakati wa kikao cha Uhakiki wa Rasimu inayopendekezwa  kabla ya Upigaji kura ili kupata Rasimu ya Mwisho Chenge akichangia  kabla ya kufika muda wa kupiga kura Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Doto Kicheko akipiga kura ya siri kwa sura 10 za Rasimu inayopendekezwa ili kupata rasimu ya mwisho Magufuli na Mwinyi, wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa bunge. Mjumbe wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Dkt Tulia Ackson (kulia) na Costantine Akitanda wakipiga kura ya siri kwa sura 10 za Rasimu inayopendekezwa ili kupata rasimu ya mwisho Dk. Mwakyembe, akichangia mawazo yake bungeni Sijui kura itapita wajumbe wa bunge hilo wakishuhudia upigaji wa kura. Ki

MUBARAK CHINI YA ULINZI MKALI

Image
Madaktari na maofisa wa jeshi la Misri wakimsindikiza Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak (aliye kwenye machela), aliposhushwa kutoka helikopta kwenda Hospitali ya Kijeshi ya Maadi baada ya kesi inayomkabili ya kuua waandamanaji mwaka 2011 kusikilizwa upya mjini Cairo, Misri jana

YANGA YATAKATA TAIFA

Image
  Mshambuliaji wa Yanga,Andrey Countinho (kushoto) akimtoka beki wa Tanzania Prison,Jeremia Juma katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara,kwenye Uwanja wa Taifa.Picha na Michael Matemanga  Akiwahesabu  kabla ya kupachiba bao a Mshambuliaji wa Yanga,Andrey Countinho (katika) akijaribu kupiga mpira huku mabeki wa Tanzania Prison,Jeremia Juma (kulia) na Nurdin Issa wakimzuia katika   mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara,kwenye Uwanja wa Taifa. Mshambuliaji wa Yanga,Andrey Countinho akishangilia gori katika mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons katika Ligi Kuu Tanzania Bara