Posts

Showing posts from February, 2016

MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI YA TBS NA TPSF YAFUNGWA DAR

Image
 Maofisa wa TBs na  washsiriki wa maonyesho ya wajasiriamali yaliyokuwa yakifanyika jijini dar es Salaam wakisikili hotuba za ufungaji maonyesho hayo Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania, TBS kuanzia UTHBERT F. MHILU, akaisoma hotuba yake katika ufungaji huo Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Profesa Adolf F. Mkenda,akitoa zawadi kwa washindi wa insha katika ufungaji wa maonyesho hayo Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Profesa Adolf F. Mkenda, akisoma hotuba yake katika ufungaji huo