Posts

Showing posts from August, 2015

LOWASSA IRINGA

Image
 Mgombea urais wa Chadema, Edwarld Lowassa, akimnadi mgombea uibunge iringa mji9ni Mchungaji Peter Msigwa katika kampeni zake za kutaka kuongoza nchi  Akisalimiana na mremavu baada ya kuwasili   Mgombea Urais wa Chadema, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, na Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye(kushoto)wakisalimia wananchi katika uwanja Gangilonga mkoani Iringa baada ya akuwasili  kwenye mkutano wa kampeni Mbunge wa Iringa Mjini anayemaliza muda wake, Peter Msingwa, akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa ) kwenye viwanja vya Gangilonga  mkoani Iringa   Wananchi wakishangilia  S umaye akimwaga radhi Iringa Lowassaa, akimnadai Mgombea ubunge Mungai Bibi akionyesha mahaba kwa ukawa  Picha hii siyo ya kuunga unga kama anavyosema mkuu wa nchi Msigwa akitambulishwa Mahaba nibebe  akinadada wakishangilia LOwassam alipokuwa akizungumza

Kanali (mst) Ayubu Shomari Mohamed Kimbau, aaga dunia leo

  THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com Website : www. Kikuyu.go.tz                Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S OFFICE,       STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD ,    11400 DAR ES SALAAM . Tanzania.   TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuombeleza kifo cha mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Jimbo la Mafia, Mkoa wa Pwani, Kanali (mst) Ayubu Shomari   Mohamed Kimbau, ambaye aliaga dunia asubuhi ya leo,   Jumapili, Agosti 30, 2015 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Katika salamu za rambirambi alizomtumia Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Eng. Evarist Ndikilo, Rais Kikwete ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa za kifo cha Mzee Kimbau ambaye kwa miaka mingi alikuwa

LOWASSA ALIPOKUSANYA UMATI WA WATU JANGWANI

Image
 Mashabiki na wapenzi wa UKAWA, wakipokeza jeneza walilodai ni Chama cha CCM mwaka huu kinazikwa katika historia ya vyama nchini hapo katika uchauzi mkuu wa mwaka huu. Hapa wanaingia katika viwanja vya Jangwani kwenye uzinduzi.  wakiwa katika Bajaji wakiingia Jangwani  Waliofika tangu asubuhi wakinywa chai kusubili uzinduzi  Shabiki akiwa na mfano wa ufunguo aliodai ni wa kufunguliwa mgombea wa ccm Magufuli  Sugu, Msigwa na Wenje wakibadilishana mawazo  Lowassa na Duni wakiingia Jangwani  Uwanja huu haujawahi kupokea watu wengi kama hawa tangu uanze kutumiwa na Binadamu  Masha, akihutubia  Mambo Ukawa CCM Umbeya  Mama Regina Lowassa, akiwamkua wananchi  Mbowe akizindua Irani ya uchaguzi 2015 hadi 2020  Akimkabidhi mgombea urais  viongozi wakionyesha Irani  Wagombea ubunge  Majimbo ya mkoa wa Dar es salaam  Kiboko ya Mkapa akizungumza  Umati huu unawesa kuita upendavyo  Waziri mkuu kwa miaka 10 F