Posts

Showing posts from June, 2023

Rais. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) anayeshughulikia Masuala ya Kilimo na Maendeleo ya Kijamii Beth Dunford Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)anayeshughulikia Masuala ya Kilimo na Maendeleo ya Kijamii Beth Dunford aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeshughulikia Masuala ya Kilimo na Maendeleo ya Kijamii Beth Dunford pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeshughulikia Masuala ya Kilimo na Maendeleo ya Kijamii Beth Dunford, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Juni, 2023.  

HEWA UKAA NDIYO HABARI YA MJINI KWA SASA

Image
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson,akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Mazingira hususan Hewa Ukaa waliofika bungeni kufanya walsha na wabunge, wadau hawa waliwaambia wabunge kuwa kuna mazao ya misitu mingi  lakini hakuna viwanda vya kuyachakata mengi yanavunwa na kupelekwa nje ya nchi, muda umefika sasa wa kuwa na viwanda. hivi sasa wageni waningia nchini na kuja kuanzisha upandaji miti kisha kwenda kukopa mamilioni ya fedha kwenye Taasisi za fedha za kimataifa kisha fedha hizo kuzipeleka makwao ili wakaazishe utunzaji wa mazingira  ambapo huko kwao wameyahalibu sana. hayo yalibainishwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Tabora Carbon Credit Harvest Programme Dkt. Ernest Phillip Irungu. Maneno hayo yaliungwa mkono na Mbunge wa Viti Maalum Riziki Lulida, aliyesema kwamba muda umefika sasa laslimali za nchi kuwanufaisha wazawa na siyo wageni ambao wanakuja kutajilikia hapa na kuwaachi wazawa na umaskini wao."Mabenki yana ybukuwa na ubaguzi ombi la mkopo akiomba Mtanzania atahangaika ha

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIAHILISHA BUNGE

Image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiandaa hotuba yake kabla ya kwenda kuisoma leo akiliahilisha bunge hadi 29 mwezi wa nane mwaka huu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisoma hotuba wakati akiliahilisha bunge lililodumu kwa muda wa miezi mitatu Kikosi cha Brasibendi cha Jeshi la Polisi nchini kikisubili kupiga wimbo wa Taifa baada ya bunge kuahilishwa leo Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini Profesa Sospiter Muhongo, akiwasili bungeni leo Wabunge Mtemvu  (kushoto)na Kwagirwa, wakiwasiliana na wapiga kura wao muda kidogo kabla ya bunge kuahilishwa Mbunge Kimbaki, akiwa na wageni wake  waliofika bungeni kwa ajili ya kujifunza Spika Dkt. Tulia Ackson, akiwatambulisha wageni wa bunge  na badae kumkalibisha Waziri Mkuu kuliahilisha bunge  

MATUKIO YA PICHA BUNIENU LEO

Image
Waziri wa Maliasili na Utalii akisoma Hotuba ya kubadilisha matuzi  poli la............................................................................................. Gari la Kikosi cha Zimoto likiwa katika viwanja vya Bunge tayari kutoa msaada wa kuzima moto uliodaiwa kutaka kutokea  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya msingi MAKULU baada ya kumaliza kupiga nao picha , walitembelea bunge kujifunza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipiga picha na Makatibu Uenezi wa Vijana wa CCM Kinondoni waliofika bungeni kwa mwaliko wa mbunge wa jimbo lao Abbas Tarimba (kushoto kwake)   Mbunge wa Kinondni Abbas Tarimba  na Temeke Kilave, wakipiga picha na Viongozi wa Chama cha mapinduzi jimbo la Kinondoni, waliofika bungeni kwa mwaliko wa mbunge wao Wabunge wakishindana kutoka ndani ya ukumbi wa bunge baada ya king'ola cha tahadhali ya moto kulia ukumbini