MATUKIO YA PICHA BUNIENU LEO

Waziri wa Maliasili na Utalii akisoma Hotuba ya kubadilisha matuzi  poli la.............................................................................................
Gari la Kikosi cha Zimoto likiwa katika viwanja vya Bunge tayari kutoa msaada wa kuzima moto uliodaiwa kutaka kutokea 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya msingi MAKULU baada ya kumaliza kupiga nao picha , walitembelea bunge kujifunza
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipiga picha na Makatibu Uenezi wa Vijana wa CCM Kinondoni waliofika bungeni kwa mwaliko wa mbunge wa jimbo lao Abbas Tarimba (kushoto kwake)
 

Mbunge wa Kinondni Abbas Tarimba  na Temeke Kilave, wakipiga picha na Viongozi wa Chama cha mapinduzi jimbo la Kinondoni, waliofika bungeni kwa mwaliko wa mbunge wao
Wabunge wakishindana kutoka ndani ya ukumbi wa bunge baada ya king'ola cha tahadhali ya moto kulia ukumbini

Comments

Popular posts from this blog

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.