Posts

Showing posts from August, 2017

WAKUU WA MIKOA WAPIGWA MSASA CHUO CHA TAIFA CHA ULIN ZI NDC

Image
  Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja Jenerali Yacoub Mohamed, akisoma hotuba yake katika ufunguzi wa mafunzo ya uongozi kwa baadhi ya wakuu wa mikoa , makatibu wakuu na watendaji wa Idara za Serikali nchini yanayofanyikia chuoni hapo kwa muda wa siku tano kuanzia leo. Wakifuatilia hotuba  Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Issa Haji Ussi Gavu, akifungua mafunzo hayo leo chuoni hapo  Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, akifuatilia kwa makini hotuba hiyo Wakipiga picha ya pamoja baada ya ufunguzi Stephine Zelote, akisalimiana na mmoja wa makamada baada ya ufunguzi  MWEnyekiti wa Baraza la chuo hicho Balozi <Martne Lumbanga , akizungumza na wanahabribaada ya ufunguzi huo   Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mataka(kuilia), akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Msenza , mazungumzo hayo yalifanyika kwenyen kipindi cha mapumziko katika mafunzo ya uongozi yanayofanyika katika Chuo cha   Taifa cha Ulinzi (NDC) Dar es Salaam. Kat

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BILL GATES NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI

Image
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa  tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa  tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea  Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiagana na Mwenyekiti wa  tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (kulia), Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles Tizeba (wa tatu Kushoto), Msaidizi wa rais Masuala ya diplomasia Bi. Zuhura Bundala (kushoto)  pamoja n