Posts

Showing posts from May, 2016

WANAFUNZI WA DODOMA KITIVO CHA ELIMU WALIPOPEWA SAA 24 KUONDOKA CHUONI

Image
  Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kitivo cha ualimu zaidi ya 7000 wakiondoka katika chuo hicho baada ya kufukuzwa kwa mgomo walioufanya wakidai walimu hawawafundishi wakiwa kwenye mgomo wa kudai mishahara yao. Akiwa kwenye pikipiki akielekea mjini  Hawa wakipanda bajaji kuwahi mjini Hawa wakipanda daladala ili mladi afike mjini  Koda akipakiza mizigo yao  Hawa wakisubili usafiri Hakika wanafunzi hawa wameonewa sana kama kweli serikali inawatu wenye utu inabidi iwaombe radhi na kuwaljeshea ghalama zao walizotumia kulejea makwao, hawakuwa na kosa lolote la kupewa massa 24 kuondoka katoka maeneo ya chuo kwanini wasiwape muda hata wa masaa 48 na kuwapatia mabasi yakuwalejesha makwao. Wagome walimu katika ugomvi wao na serikali kuhusu malipo ya kufundisha wamekaa wizi zaidi ya tatau bila kufundishwa kosa lao nini badala ya kuwafukuza walimu wao wanakuwa wahanga ndiyo maana hata wabunge wali[peleka hoja binafsi bungeni kutaka serikali iseme kwanini imeten

WABUNGE WAKICHANGIA BAJETI DODOMA

Image
  Waziri wa Ardhi, Numba na Mmaendeleo ya Makazi, William Lukuvi   na Naibu wake Angellina Mabula, waakibadilishana mawazo na wafunmgaji kutoka Gonja Maole wakati wa kipindi cha mapumziko   Waziri wa Maliasili na Mazingira, Profesa Jumanne Maghembe, akibadilishana mawazo na waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye wakati wa kuingia bungeni Mbunge wa Muheza CC, Adadi Rajab, akiwasili bungeni kipindi cha asubuhi    Mbunge wa Viti Maalum,   Amina mollel, akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe, akizungumza na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia ndani ya ukumbi wa bunge    Manaibu Waziri wakisikiliza michango ya wabunmge walipokuwa wakichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi   na Maendeleo ya Makazi jana Kushoto ni Dk. Abdallah Posi Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu na   Naibu Wizara ya Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni.   Mbunge wa

MATUKIO MBALIMBALI

Image
  Mwenyekiti wa Baraza la Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislam Baraza Kuu Sheikh Suleiman Kilemile, akitoa tamko la Masheikh  kwa niaba ya Waislamu wa Tanzania Kuhusu mauaji yaliyofanyika Mwanza Katika Masjid ya Rahmaan,Dar es Salaam  Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob, akimsalimia mtoto baada ya kutembelea wodi ya watoto katika Hospitali ya Mwananyamala, wakati wa Ziara ya Kamati ya Fedha, jijini Dar es Salaam   Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob, akitoka kukagua moja ya jengo la Wodi ya Bima ya Afya katika Hospitali ya Mwananyamala, wakati wa Ziara ya Kamati ya Fedha,(kulia) Mratibu wa Tiba katika Hospitali ya Mwananyamala, , Dk Nkungu Daniel Nkungu, Dar es Salaam   Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob,akikagua barabara ya Akachube, wakati wa Ziara ya Kamati ya Fedha, jijini Dar es Salaam  Meya akiruka madimbwi ya maji katika barabara hiyo MICHEZO YA MKUU WA  MAJESHI UWANJA WA UHURU DAR Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Mic