WANAFUNZI WA DODOMA KITIVO CHA ELIMU WALIPOPEWA SAA 24 KUONDOKA CHUONI

 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kitivo cha ualimu zaidi ya 7000 wakiondoka katika chuo hicho baada ya kufukuzwa kwa mgomo walioufanya wakidai walimu hawawafundishi wakiwa kwenye mgomo wa kudai mishahara yao.
Akiwa kwenye pikipiki akielekea mjini


 Hawa wakipanda bajaji kuwahi mjini
Hawa wakipanda daladala ili mladi afike mjini
 Koda akipakiza mizigo yao
 Hawa wakisubili usafiri
Hakika wanafunzi hawa wameonewa sana kama kweli serikali inawatu wenye utu inabidi iwaombe radhi na kuwaljeshea ghalama zao walizotumia kulejea makwao, hawakuwa na kosa lolote la kupewa massa 24 kuondoka katoka maeneo ya chuo kwanini wasiwape muda hata wa masaa 48 na kuwapatia mabasi yakuwalejesha makwao.

Wagome walimu katika ugomvi wao na serikali kuhusu malipo ya kufundisha wamekaa wizi zaidi ya tatau bila kufundishwa kosa lao nini badala ya kuwafukuza walimu wao wanakuwa wahanga ndiyo maana hata wabunge wali[peleka hoja binafsi bungeni kutaka serikali iseme kwanini imetenda hivyo.

Hata hivyo ugeni wa naibu spika katika shuguli za kuogoza bunge hilo lenye vichwa vinavyochemka akatumia  ubabe na kuvunja kikao kitu ambacho wengi waliohojiwa wamemshutmu sana kanakkwamba yeye hakuwahi kusoma hata dalasa moja.

Wanafunzi hawa tena wakiwa wadogo wengine wenye umri wa miaka 17 wamejikuta wakilala stendi za mabasi wenye kupenda tamaa waliweza kuchukuliwa na midume yenye roho kama za simba kila amuonapo mtoto wa swala anawaza kumla je wakipata mimba nani alaumiwe.



Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA