Posts

Showing posts from June, 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MISRI NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa Misri Mhe Abdel Fattah Al-Sisi mjini Malabo, Equatorial Guinea, pembeni ya Mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika Juni Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Kuhusu Tabia Nchi  ulioitishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon pembeni mwa mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014

MAKAMU WA RAIS WA CHINA KATIKA KIWANDA CHA NGUO EPZA

Image
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Tooku Garments CO.LTD katika eneo la Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji nchini (EPZA) wakati alipotembelea kiwanda hicho mapema jana jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akikagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na kiwanda cha nguo cha Tooku Garments CO.LTD . katika eneo la Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji nchini (EPZA)wakati akihitimisha ziara yake mapema jana jijini Dar es Salaam  Makamu huyo akishangaa ubora wa bidhaa za kiwanda hicho cha kitanzania  Akizungumza na mfanyakakzi wa kiwanda hicho Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiangalia moja ya nguo zinazotengenezwa na kiwanda cha nguo cha Tooku Garments CO.LTD katika eneo la Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji nchini (EPZA) wakati wa kukamilisha

Mkurugenzi Mkuu NHC azungumza na wakuu wa mikoa Tanzania

Image
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, akizungumza kwenye   Jukwaa la Uwekezaji wa Sekta ya Nyumba lililowashirikisha baadhi ya wakuu wa mikoa nchini,   wakuu wa Taasisi za wageni mbalimbali lilifanyika jijini Dar es Salaam.