MAKAMU WA RAIS WA CHINA KATIKA KIWANDA CHA NGUO EPZA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Tooku Garments CO.LTD katika eneo la Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji nchini (EPZA) wakati alipotembelea kiwanda hicho mapema jana jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akikagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na kiwanda cha nguo cha Tooku Garments CO.LTD. katika eneo la Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji nchini (EPZA)wakati akihitimisha ziara yake mapema jana jijini Dar es Salaam
 Makamu huyo akishangaa ubora wa bidhaa za kiwanda hicho cha kitanzania
 Akizungumza na mfanyakakzi wa kiwanda hicho


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiangalia moja ya nguo zinazotengenezwa na kiwanda cha nguo cha Tooku Garments CO.LTD katika eneo la Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji nchini (EPZA) wakati wa kukamilisha ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao mapema jana jijini Dar es Salaam.
 

Baada ya kuteembelea kiwanda hicho waliamua kupumzika na kubadilishana mawazo.

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.