Posts

Showing posts from March, 2016

WABUNGE MAHAKAMANI LEO

Image
 Gari la Takukuru lililowabeba wabunge Kangi Lugola, Sadiq muradi na Victor Mwambalaswa, likiwasili katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kuwapandisha kizimbani wakidaiwa kushawishi kupokea rushwa wakiwa kwenye majukumu yao ya kikazi katika hoteli ya Golden Tulip jijini dar es Salaam kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauli ya Gairo mkoani Morogoro  Ulinzi katika Mahakama hiyo  Afisa wa Takukuru, akienda kuandaa mazingira ya kuwapandisha kizimbani Takukuru wakifungua milango ya gari  kwa ajili ya kuwashusha  Muradi akiwa wa kwanza kushuka  Mwambalaswa wakimsubili LUgola  Wakienda kupanda kizimbani Lugola akionyesha alama ya ushujaa  Wakienda kupanda kizimbani  Wakiingia katika kizimba cha Mahakama  Wakifurahia jambo Baadhi ya ndugu na jamaa wa washtakiwa wakiwa katika mahakama hiyo  Wakisomewa mashtaka