WABUNGE MAHAKAMANI LEO

 Gari la Takukuru lililowabeba wabunge Kangi Lugola, Sadiq muradi na Victor Mwambalaswa, likiwasili katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kuwapandisha kizimbani wakidaiwa kushawishi kupokea rushwa wakiwa kwenye majukumu yao ya kikazi katika hoteli ya Golden Tulip jijini dar es Salaam kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauli ya Gairo mkoani Morogoro


 Ulinzi katika Mahakama hiyo

 Afisa wa Takukuru, akienda kuandaa mazingira ya kuwapandisha kizimbani
Takukuru wakifungua milango ya gari  kwa ajili ya kuwashusha
 Muradi akiwa wa kwanza kushuka


 Mwambalaswa wakimsubili LUgola
 Wakienda kupanda kizimbani Lugola akionyesha alama ya ushujaa







 Wakienda kupanda kizimbani






 Wakiingia katika kizimba cha Mahakama

















 Wakifurahia jambo

Baadhi ya ndugu na jamaa wa washtakiwa wakiwa katika mahakama hiyo
 Wakisomewa mashtaka





 Baada ya kutimiza masharti ya dhamana wakizungumza na wanahabari na kudai ndiyo mapambano yanaanza hawatakamishwa kutekeleza majukumu yao kwa kesi za kubambikiwa sasa hapo kakzi tuu


Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.