Posts

Showing posts from May, 2015

SAFARI YA MATUMAINI ILIVYOITEKA NCHINI KUPITIA ARUUSHA

Image
 Akina mama kutoka wilaya ya kondoa wakicheza ngoma katika mkutano wa karne wa kutangaza nia ya kuomba kuteuliwa na Chama chake cha CCM, Edward Lowassa, kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Mkutano huo ulifanyika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid.jijini Arusha.  Vijana marafiki wa Lowassa, kutoka Temeke wakiingia uwanjani  Vijana wa Kimasai wakicheza ngoma za kijadi wakiwa kwenye jukwaa  Marafikiwa Lowassa, kutoka morogoro wakiingia uwanjani  Nyomi ilivyo uwanjani haijapata kutokea tangu uwanja huo ujengwe Msaidizi Mkuu wa Lowassa, Hussein Bashe (wapili kushoto), akijadilianan jambo na wanakamati wenzake wa kamati ya mkutano huo  Kulia ni Dk. Chegebi mbunge wa zmani wa jimbo la Busega  Wanahabari kutoka Dar wakiwa uwanjani hapo Marafiki kutoka mkoa wa Mara wakingia Uwanjani Ulinzi nao ulikuwa imara uwanjani hapo wakipita  kwa kukagua hapa na pale Marafiki kutoka Monduli wakiingia uwanjani  Viongozi wa dini wakiingia uw