Posts

Showing posts from February, 2017

KINDUMBWENDUMBWE CHA TIGO KILI MARATHON MJINI MOSHI

Image
Mshindi  wa Tigo Half Kilimarathon,   Grace Kimanzi kutoka Kenya akimaliza mbio hizo zilizofanyika Moshi,   Kilimanjaro. Mshindi wa kwanza wa Tigo Half  Kilimanjaro, Emmanuel Giniki kutoka Tanzania akimaliza mbio hizo

TIGO YAKABIDHI VIFAA KWENYE KITUO CHA KULELE WATOTO MJINI MOSHI

Image
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata (kulia) akimkabidhi jezi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha watoto cha Amani Children's Home cha mjini Moshi, Kilimanjaro, Meindert Schaap ikiwa ni sehemu ya msaada wa vifaa vya michezo uliotolewa na Tigo kwa ajili ya kituo hicho  Akiangalia Tsheti atakazokabidhiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha watoto cha Amani Children's Home cha mjini Moshi, Kilimanjaro, Meindert Schaap akitoa shukrani kwa mtandao wa simu za mkononi wa Tigo baada ya kupokea msaada wa vifaa vya michezo mbalimbali vikiwemo vya Kilimarathon. Kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata    Maofisa wa Kampuni ya Tigo, wakiwa katika hafla hiyo  Mkurugenzi huyo akizungumza   Watoto cha Amani Children's Home cha mjini Moshi, Kilimanjaro pamoja na   wafanyakazi wa Tigo wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya mtandao huo kukabidhi vifaa vya michezo.  Mtoto anayelelewa na   Amani Children's Home ch

EAST AFRICAN NGWASUMA ORINGINAL BAND WAWAPAGAWISHA WAKATI WA MKOANI KILIMANJARO

Image
Kiongozi wa band ya  East African Ngwasuma Original Band Kingombe Blaise  wa pili kulia akiwa anafanya mambo katika ukumbi wa Filomena Bar uliopo Boma Ngo'mbe  mkoani Kilimanjaro  wakati wa onyesho lao walilofanya mwishoni mwa wiki hii  waimbaji na wanenguaji wa bendi ya East African Ngwasuma Original Band wakiwa wanawapagawisha wakazi wa Bomang'ombe na mitaa yake  wanenguaji wa band ya  East African Ngwasuma Original Band wakiwa wanaonyesha viuno ikiwa  wanacheza staili yao mpya ya Kampa Kampa tena  Rappa anaejulikana kwa jina la Papii katalogi akifanya yake ndani ya ukumbi wa Filomena Bar mkoani kilimanjaro Habari picha na Woinde Shizza, Kilimanjaro Bendi mpya iliongia mjini kwa kasi inayoongozwa na msanii maarufu Kingombe Blaise imewapagawisha wakati wa mji wa BomaNg'ombe na vitongoji vyake mara baada ya kutoa burudani kali ambayo iliacha historia Wakiongea na blog hii baadhi ya washabiki wa mziki wa dance

SIKU YA UBORA WA VIWANGO AFRIKA

Image
Mkurugenzi wa Uborawa ViwangoEdna Ndumbalo akizungumza kabla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa isha kuhusu ubora wa viwango barani Afrika iliyofanyika leo makao makuu ya shirika hilo jijini Dar es Salaam.  Wageni na waalikwa wakiwa katika hafla hiyo  Afisa wa Shirika hilo ambaye kwa leo alikuwa MC akitoa maelezo kuhusu washindi Kaimu Mkurugenzi wa TBS  Dk. Egid Mubofu,akizungumza katika hafla hiyo. Kushoto ni aliyekuwa jaji mkuu wa washindi Dk Eugenia Kafanabo na kulia ni Edna Ndumbalo  Jaji Mkuu Dk. Euginia Kafanabo, akielezea jinsi mashindano yalivyoendeshwa Baadhi ya washindi na washiriki wakisikiliza matokeo Mshindi wa nneu akipewa zawadi  Mshindi wa tatu akikabidhiwa zawadi  Mshindi wa pili Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania ( TBS ), Dk. Egid Mubofu, akimkabidhi Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Evarist Tairo, kompyuta mpakato baada ya kujinyakulia ushindi wa kwanza katika uandishi wa insha kuhusu ubora w