Posts

Showing posts from January, 2015

KYELA NA MAENDELEO YA VIJANA

Image
 Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa wa pili kulia akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kyela Dr. Festo Dugange jana wakati wa ziara ya kuhamasisha vijana wa Kyela. Wa kwanza kulia ni Afisa Maendeleo ya Vijana Bi. Amina Sanga, wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya Bw. Laurean Masele na wa pili kushoto ni Afisa Vijana Mkoa wa Mbeya Bw. George Mbijima. Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akiwaelimisha vijana wa Wilaya ya Kyela kuhusu mwongozo unaosimamia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wakati wa semina ya Ujasiriamali, Stadi za Maisha, Ujuzi na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana iliyofanyika jana katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya. Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya walioudhuria semina ya Ujasiriamali, Stadi za Maisha, Ujuzi na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokua yakiendelea wakati wa semina hiyo.  Vijana wa Hal

TAA ZINAVYOGONGWA BARABARA YA MOROGORO DAR

Image
Mwendesha bodaboda, akimshangaa mwenzake, aliyechukua abilia akiwa amebeba tenga kichwani akipita barabara ya morogoro karibu na Urafiki Dar es Salaam  Pamoja na kufungwa taa  mpya za barabara mpya ya ubungo madereva wameaza kuzigonga kama hii inavyoonekana Mpitanjia akiangalia jinsi taa hivyo ilivyogongwa

BUNGENI DODOMA

Image
Mbunge wa viti Maalumu (CCM) Esther Bulaya akichangia bungeni Dodoma jana wakati wa kujadili taarifa za kamati zilizowasilishwa juzi.Picha na Silvan Kiwale   Mbunge wa viti Maalumu (Chadema) Cecilia Pareso akichangia bungeni Dodoma jana wakati wa kujadili taarifa za kamati zilizowasilishwa juzi.   Mbunge wa Bariadi Mashariki,John Cheyo akizungumza na Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Nkuya, nje Bunge Dodoma jana baada ya kuahirishwa.Katikati ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Adam Malima   Waziri mpya wa Uchukuzi Samuel Sitta akisalimia baada ya kuhudhuria kikao cha bunge Dodoma jana kwa mara ya kwanza baada ya kushika wadhifa huo Mbunge wa Sumve (CCM), Richard Ndassa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),Jenister Mhagama  nje Bunge Dodoma jana baada ya kuahirishwa   Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) Godbles Lema akichangia bungeni Dodoma jana wakati wa kujadili taarifa za kamati zilizowasilishwa juzi Naibu Waziri wa Maji,

WABUNGE AFRIKA MASHARIKI WA TANZANIA WAMPONGEZA MWAKYEMBE

Image
  Waziri mpya wa Afrika Mashariki Dr. Harrison Mwakyembe, akipongezwa na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Shy-Rose Bhanji, mara baada ya kuapishwa kuwa mbunge wa bunge hilo katika kikao cha Bunge hilo jijini Arusha juzi KARIBU TENA KWENYE BUNGE HILI

KICHAPO CHA POLISI KWA WAFUASI WA CUF NA MWENYEKITI WAO PROFESA LIPUMBA

Image
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, akiwapungia mkono wa kwaheri wafuasi na wanachama wa chama chake baada ya kuingizwa kwenye gari la polisi kulepekwa mahabusu ya polisi kituo cha kati kwa madai ya kukamatwa akiandamana na baadhi ya wafuasi wake  Askari kazu akimlinda kama mhalifu wa kimataifa  Patashika ya askari kazu na wanacuf wakipinga mwenyekiti wao asikamatwe  Wafuasi wakipandishwa kwa nguvu na bakora juu  Wakipelekwa kupanda karandinga  Mfuasi wa kike nae akipelekwa sambamba na wenzake Profesa akiwasihi askari hao hata hivyo hawakumsikiliza  HAKIKA KIPOGO KAMA HIKI hakuna ambaye anaweza kuvumilia ipo siku watanzania wanaopigwa pigwa hivi watachoka lolote linaweza kutokea kama askari kama hawa ambao hawatumii akili, kazi yao kupiga tu  rai akiweza kuwapokonya bunduki lolote linaweza kutokea , siombei litokee hilo lakini nasihi askari kama hawa hawafai kuajiliwa katika jeshi lenye