WABUNGE AFRIKA MASHARIKI WA TANZANIA WAMPONGEZA MWAKYEMBE



 Waziri mpya wa Afrika Mashariki Dr. Harrison Mwakyembe, akipongezwa na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Shy-Rose Bhanji, mara baada ya kuapishwa kuwa mbunge wa bunge hilo katika kikao cha Bunge hilo jijini Arusha juzi

KARIBU TENA KWENYE BUNGE HILI

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA