Posts

Showing posts from April, 2018
Image
TCCIA KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WAZINDUA TYM Naibu makamu mkuu wa chuo kikuu Dar es salaam, Pro. Cuthbert Kimambo akiongea na TYM wakati wa kusain makubaliano na TCCIA. Katika kuhakikisha Taifa letu la Tanzania linakuwa imara kiuchumi na kuwa na nguvu kazi kubwa ya Taifa, Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture ‘TCCIA’ imeingia makubaliano maalumu pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo TCCIA imetiliana saini katika makubaliano hayo ‘Memorundum of Understanding’ . Makubaliano haya yanatoa nafasi kubwa kwa vijana kupitia TCCIA Youth Members, kitengo maalumu kwa vijana hasa waliopo vyuoni kuweza kutumia rasilmali zilizopo TCCIA kuweza kujijenga zaidi katika kazi zao pindi wanapokuwa bado wapo shule na hata baada ya kumaliza shule. Akizungumza na TYM Makamu wa Rais wa TCCI Bw. Octavian Mshiu alisema TCCIA imeingia makubaliano haya na chuo kikuu cha Dar es Salaam ili kuhakikisha inatoa fursa kwa vijana wengi kuweza kupata na