Posts

Showing posts from October, 2023

PICHA ZA MATUKIO LEO BUNGENI 31.10.2023

Image
  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko, akizunvumza na Mbunge wa Viti Maalum CCM, Ikendo Fyandomo ndani ya ukumbi wa Bunge leo. Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa (kulia), akizunumza na Waziri wa Madini Anthony Mavunde Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko akizungumza na Naibu Spika Azan Zungu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko , akiwa na Mbunge wa Kwimba Mansoor Shanif Hirani Baadhji ya wageni waliotembelea bunge leo Mbunge wa Kilindi Omary Kigua, akiuliza swali Mbunge wa viti Maalum Chadema Halima Mdee Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba Mbunge wa kwela, Deo Sangu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko, akimpongeza Mbunge Bahati Ndingo, baada ya kuapishwa bungeni leo kuwa mbunge Akipewa vitendea kazi na spika Tulia Ackson baada ya kuapa Bahati akiapa Bahati akisindikizwa na wabunge kwenda kuapa Wabunge wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa na wa Afrika  Mashariki kuashiria kuanza bunge la 12 leo

*BRELA YAELEKEZWA KUWALEA WAFANYABIASHARA NCHINI

Image
  Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeelekezwa kuwalea wafanyabiashara nchini kwa kurahisisha jinsi ya kuifikia, kuwa mbunifu wa namna ya kuwahudumia na kuifanya Taasisi kuwa ya watanzania ili kufikia malengo ya uanzishwaji wake.    Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji alipokuwa akifungua mkutano wa kwanza wa BRELA na wadau wake leo tarehe 27 Oktoba, 2023 kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Mhe. Dkt. Kijaji ameeleza kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kukabidhi uchumi wa taifa kwa sekta binafsi na amefungua mipaka yote, hivyo taasisi ya kwanza inayoshughulikia sekta binafsi ni BRELA kwakuwa uchumi wa nchi unakua kupitia ukuaji wa sekta ya viwanda na biashara nchini. Ameongeza kwa kusema kuwa kuanzia mwaka 2019 hadi Juni, 2023 Serikali imeeendelea kutekeleza mpango wa kuboresha mazingira bora ya biashara na  kuondoa tozo na kodi mbalimbali zaidi ya 374 zilizos

WAWEKEZAJI SEKTA YA NYUMBA KUTOKA NJE YA NCHI WAVUTIKA KUWEKAZA HAPA NCHINI.

Image
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Lucy Kabyemera akiwa katika kikao cha majadiliano ya uwekezaji na wawakilishi wa kampuni ya Planet Smart City leo Jijini Dodoma. Kikao cha Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Lucy Kabyemera akiwa katika kikao cha majadiliano ya uwekezaji na wawakilishi wa kampuni ya Planet Smart City kilichofanyika leo Jijini Dodoma. Naibu katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Lucy Kabyemera akisilikiliza katika kikao cha majadiliano ya uwekezaji na wawakilishi wa kampuni ya Planet Smart City mapema leo Jijini Dodoma. Naibu katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Lucy Kabyemera (katikati) baada kikao cha majadiliano ya uwekezaji na wawakilishi wa kampuni ya Planet Smart City kilichofanyika leo Jijini Dodoma. Na mwandishi wetu Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imekut

BABU AZINDUA JENGO LA MAMA NA MTOTO WILAYANI SAME

Image
Ashrack Miraji  (Same) kilimanjaro Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin babu amezindua jengo la Mama na mtoto katika kituo cha afya Bwambo Wilayani Same kinacho milikiwa na kanisa katoriki jengo lililogharimu kiasi cha shilingi Milioni 450. Akizindua jengo hilo ambalo limejegwa kwa ufadhili wa Shirika la partner for Hope lililopo Nchini Marekani Mkuu huyo wa Mkoa Ameshukuru kanisa katoriki kushirikiana na Serikali Katika kusogeza huduma kwa Wananchi. "Kuwa na jengo hili la Mama na mtoto imekuwa msaada mkubwa kwa jamii hasa akina Mama wanao jifungua watoto njiti, sisi kama Serikali hatuna budi kuwashukuru kwa kuokoa maisha ya Mama na mtoto pia nawaomba wananchi wanufaika kuendelea kutumia huduma hii kwani ni sehemu ya uimalishaji wa huduma ya Afya kati ya kanisa na Serikali".alisema Nurdin Babu. Kwa upande wake Askofu wa jimbo la Same Mkoani Kilimanjaro Mhashamu Rogath Kimario ametoa shukrani kwa Serikali kwa ushirikiano kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi ya

TENGANISHENI KATI YA AJENTI NA UANDISHI WA HABARI NCHINI----CHALAMILA

Image
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akionja uji wa mbaazi ambao amedai ni mara ya kwanza kuunywa na kukiri utamu wake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albart Chalamila, akikabidhiwa uji wa Mbaazi na Mjumbe wa DCPC, Ufoo Saro baada ya kufungua mkutano huo. Mkuu huyo alifulahia uji huo pamoja na keki za mbaazi zinazotengenezwa na Kampuni ya Maki Foods ya jijini Dar es Salaam. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, akikalibishwa na viongozi wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) Mwenyekiti Sama Kamalamo (kushoto) na Makamu wake Salome Gregory kwa ajili ya kufungua mkutano Mkuu wa mwaka VViongozi wa Chama hicho wakimpatia taarifa Mkuu huyo kanbla ya kwenda kufungua mkutano wao Mkuu wa mkoa, akikabidhiwa zawadi ya uga wa mtama spesho kwa ajili  ya kupika uji Afisa habari wa Mamlaka ya hali ya hewa nchini, akizungumza katika mkutano huo Mwenyekiti wa DCPC, Sam Kamalamo akizungumza kab la ya kumkalibisha Mku wa mkoa kufungua mkutano Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albar