PICHA ZA MATUKIO LEO BUNGENI 31.10.2023

 

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko, akizunvumza na Mbunge wa Viti Maalum CCM, Ikendo Fyandomo ndani ya ukumbi wa Bunge leo.
Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa (kulia), akizunumza na Waziri wa Madini Anthony Mavunde Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko akizungumza na Naibu Spika Azan Zungu


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko , akiwa na Mbunge wa Kwimba Mansoor Shanif Hirani



Baadhji ya wageni waliotembelea bunge leo

Mbunge wa Kilindi Omary Kigua, akiuliza swali


Mbunge wa viti Maalum Chadema Halima Mdee
Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba
Mbunge wa kwela, Deo Sangu


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko, akimpongeza Mbunge Bahati Ndingo, baada ya kuapishwa bungeni leo kuwa mbunge

Akipewa vitendea kazi na spika Tulia Ackson baada ya kuapa
Bahati akiapa


Bahati akisindikizwa na wabunge kwenda kuapa

Wabunge wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa na wa Afrika  Mashariki kuashiria kuanza bunge la 12 leo

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.