Posts

Showing posts from December, 2014

MAMBO YA MOROGORO

Image
Wafanyabiashara ndogondogo katika kituo cha Mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro wakiwauzia abiria waliokuwa ndani ya basi lililokuwa likitokea Dodoma kwena Dar es Salaam jana. Msukuma mkokoteni akipita katika barabara ya Morogoro Mjini huku akuwa amebeba mabox ya Viberiti jana.  Kutokana na kuanza kwa kunyesha kwa Mvua katika Mkoa wa Morogoro milima ya Urugulu imetanda ukungu mkubwa kama inanyoonekana katika

LOWASSA AKUTANA NA SUKWA UNGUJA

Image
 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, akisalimiana na alaiyewahi kuwa katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi  Miaka ya 1990 Sukwa Said Sukwa, alipokutana naye nyumbani kwake leo hii. ikumbukwe Lowassa yupo unguja kwa mapumziko ya sikukuu ya krismasi n mwaka mpya.

HATIMAYE MANSOUR WA CCM ATUA CUF JUMLA JUMLA LEO HII

Image
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimpongeza Mansour Yussuf Himid baada ya kuamua kujiunga na chama hicho na kumkabidhi rasmi kadi ya CUF katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini Unguja. Mwanachama mpya wa CUF Mansour Yussuf Himid akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui, baada ya  kujiunga na chama hicho katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini Unguja.   Mwanachama mpya wa CUF Mansour Yussuf Himid akizungumza na wanachama wenzake , baada ya  kujiunga na chama hicho katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini Unguja Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara wa chama hicho katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini Unguja. Wanachama wa CUF wakionyesha kuunga mkono uamuzi wa Mansour Yussuf Himid kujiunga rasmi na chama hicho kwenye viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR).                                  28/12/2014. Na: Hassan Hamad (OMKR). Aliyekuwa

YANGA NA ZAM FC 2-2 TAIFA

Image
 Wachezaji wa Yanga, wakishangilia baadan ya kusawazisha katika mchezo wao na timu ya Azam FC uliofanayika uwanja wa taifa jijini dar es salaam na kutoka 2-2 Mshambuliaji wa Yanga Kpah Sherman, (kushoto) akiwania mpira na beki  wa Azam Himidi Mao, katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.  timu hizo zilitoka sare 2-2   Winga wa Yanga Simon Msuva, (kushoto) akiwania mpira na beki wa Azam Pascal Wawa, katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.  timu hizo zilitoka sare Mshambuliaji wa Yanga Amisi Tambwe (kushoto) akimtoka beki wa Azam Erasto Nyoni, katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.  timu hizo zilitoka sare   Tambwe. akiwatoka wachezaji wa Azam Akianguka baada ya kupigwa buti. YANGA,AZAM, ZASHINDWA KUTAMBIANA TIMU za Yanga na Azam jana zilishindwa kuwakamata vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bar

MPAMBANO WA KAGERA NA SIMBA TAIFA

Image
 Askari wakisimamia ukataji wa tiketi za kiingilio kati ya Simba na kagaera, ukataji huu  ni wa kizamani kama uwanja ni wa kisasa ukataji tiketi wa kisasa umeishia wapi tuache uswahili  Kocha wa Simba Patrick Phili, akiingia uwanjani kushuhudia mpambano  Naibu waziri wa Maji, Amosi Makalla, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kagera kabla ya kuanza mpambano  Timu ya kagera wakipiga picha ya pamoja kabla kuanza mpambano na timu ya simba waliifunga bao 1-0  timu ya Simba ikiwa katika picha ya pamoja baada ya kufungwa kikosi cha simba kikitafakuli  manahodha wa timu zote mbili waki na wamuzi  Wakipiga picha pamoja na kamisaa wa mchezo huo  Benchi la timu ya Kagera  Mashabiki wa simba  wakiwa kimya  Emannuel okwi wa sima, akijalibu kumtoa benki wa kagera bila mafanikio  Sserunkuma akipiga shuti mbele ya wachezaji wa Kagera  Mpira siyo lelelma kagera na simba hapa  Mawazo yote wa wanalambalamba Azam FC, Huyu ni Mpigapicha wa magazeti ya chama uhuru

MKUU WA WALINZI WA RAIS KIKWETE NAYE ADONDOKA

Image
 Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Rais Jakaya Kikwete, Benedito Mashiba,akitoa neno la shukurani katika misa ya kutimiza miaka 25 ya ndoa yake iliyofanyika katika kanisa la St Peter jijini dar es Salaam.  Akishikikliwa na familia yake baada ya kupepesuka huku mwadhama Kadinali pengo akishuhudia Akibebwa baada ya kudondoka na kupelekwa sehemu ya mapumziko Msadizi wake akilejea na viatu na koti lake baada ya kumuweka sehemu ya mapumziko baada ya dak 50 alilejea ukumbini baada ya kupata nafuu

WAZIRI NYALANDU ATANGAZA KUWANIA URAIS WA TZ

Image
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo, jimboni humo (Picha na Bashir Nkoromo theNkoromo Blog) Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo, jimboni humo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu akisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo, jimboni humo  Mwimbaji wa muziki wa Injili, Frola Nkone akiimba kutumbuiza wakati wa mkutano huo Mwanamuziki wa muizki wa Injili, Rose Mhando akiimba kutumbuiza wananchi katika mkutano huo wa Nyalandu Wasanii wa kikundi cha Makomandoo cha mjini Singida wakitu