MPAMBANO WA KAGERA NA SIMBA TAIFA

 Askari wakisimamia ukataji wa tiketi za kiingilio kati ya Simba na kagaera, ukataji huu  ni wa kizamani kama uwanja ni wa kisasa ukataji tiketi wa kisasa umeishia wapi tuache uswahili
 Kocha wa Simba Patrick Phili, akiingia uwanjani kushuhudia mpambano
 Naibu waziri wa Maji, Amosi Makalla, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kagera kabla ya kuanza mpambano
 Timu ya kagera wakipiga picha ya pamoja kabla kuanza mpambano na timu ya simba waliifunga bao 1-0
 timu ya Simba ikiwa katika picha ya pamoja
baada ya kufungwa kikosi cha simba kikitafakuli
 manahodha wa timu zote mbili waki na wamuzi
 Wakipiga picha pamoja na kamisaa wa mchezo huo
 Benchi la timu ya Kagera
 Mashabiki wa simba  wakiwa kimya
 Emannuel okwi wa sima, akijalibu kumtoa benki wa kagera bila mafanikio
 Sserunkuma akipiga shuti mbele ya wachezaji wa Kagera
 Mpira siyo lelelma kagera na simba hapa
 Mawazo yote wa wanalambalamba Azam FC, Huyu ni Mpigapicha wa magazeti ya chama uhuru na Mzalendo, Emmanuel Ndege , akivinjali kwenye pambano la simba na kagera
Mashabiki wa simba kimya, baada ya kupigwa bao timu yao

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.