Posts

Showing posts from December, 2015

WAZIRI KITWANGA ALA KIAPO CHA KUWA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA

Image
  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga  baada ya kumuapisha   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (katikati), mara baada ya Jaji huyo kumuapisha Waziri Kitwanga kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza, jijini Dar es Salaam   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akipandisha ngazi za kuingia Mah

YANGA INACHAPA MABAO TU

Image
  Mshambuliaji wa Yanga, Saimon Msuva, (kushoto) akimhadaa beki wa Mbeya City, John Kabanda , wakati wa mchezo wao wa ligi Mkuu Tanzania bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Yanga ilishinda mabao 3- 0.   Wachezaji wa Yanga wakishangilai bao bao la Tatu zidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuuu Tanzania bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam   Polisi wakiwazuia mashabiki wa Mbeya City wasifanye vurugu katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam juzi wakati wa mchezo wa timu hiyo na Yanga Benchi la Ufundi la Timu ya Mbeya City wakifuatilia mchezo zidi ya Yanga   Madaktari wa Timu ya Mbeya City wakimhudumia Kipa wa timu hiyo, Juma Kasejua Mashabiki wa Yanga wakiishangilia timu yao Mchezaji wa Mbeya City, Haruna Moshi kulia akikunjana na mchwaji wa Yanga, Juma Abdul.  Mchezaji wa Yanga, Matheo Anthony kulia akijalibu kumpiga chenga mchezaji wa Mbeya City. Haruna Shamabte  Mashabiki wa Mbeya City wakibidhibitiwa askari polisi