YANGA INACHAPA MABAO TU

 Mshambuliaji wa Yanga, Saimon Msuva, (kushoto) akimhadaa beki wa Mbeya City, John Kabanda, wakati wa mchezo wao wa ligi Mkuu Tanzania bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Yanga ilishinda mabao 3- 0.
 Wachezaji wa Yanga wakishangilai bao bao la Tatu zidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuuu Tanzania bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
 Polisi wakiwazuia mashabiki wa Mbeya City wasifanye vurugu katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam juzi wakati wa mchezo wa timu hiyo na Yanga

Benchi la Ufundi la Timu ya Mbeya City wakifuatilia mchezo zidi ya Yanga
 Madaktari wa Timu ya Mbeya City wakimhudumia Kipa wa timu hiyo, Juma Kasejua

Mashabiki wa Yanga wakiishangilia timu yao

Mchezaji wa Mbeya City, Haruna Moshi kulia akikunjana na mchwaji wa Yanga, Juma Abdul. 

Mchezaji wa Yanga, Matheo Anthony kulia akijalibu kumpiga chenga mchezaji wa Mbeya City. Haruna Shamabte
 Mashabiki wa Mbeya City wakibidhibitiwa askari polisi
Furaha ya ushindi aikionyeshwa na wache\zaji wa yanga

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.