Posts

Showing posts from November, 2022

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WAKUU WA BIMA AFRIKA

Image
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha  (AICC) kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Bima  wa  Afrika Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa  wa Wakuu wa Mamlaka za Bima Afrika wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano huo kwenye Kituo cha Kimtaifa cha Mkutano cha Arusha (AICC) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia  Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka  za Bima Afrrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha.  (AICC)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya kuhutubia Mkutano wa Kimataifa wa  Wakuu wa  Mamlaka  za Bima Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) @@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@ WAZIRI MKUU AHIMIZA ELIMU YA BIMA AFRIKA WAZIRI MKUU

MAOFISA BIASHARA NCHIMNI WATAKIWA KUSIMAMIA TAALUMA ZAO KWA USAHIHI

Image
  Na Mwandishi Wetu, Dodoma WIZARA ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imewataka Maofisa biashara wote nchini kusimamia taaluma zao katika utekelezaji wa majukumu yao lengo likiwa kuwa mfano bora wa uwezeshaji wa biashara kwenye mamlaka za serikali za mitaa. Pia wizara hiyo imesema kwa kushirikiana na taasisi 17 zilizochininya Kurugenzi ya maendeleo ya biashara wanatekeleza lengo kuu la kuwezesha biashara Kwa kuwatumia maofisa biashara wanawake. Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Mkurugenzi idara ya maendeleo ya biashara katika wizara hiyo Christopher Mramba, kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo DK.Ashantu Kijani wakati wa uzinduzi wa Chama cha Maofisa Biashara wanawake(TAWTO). Mramba amewasii Maofisa hao katika utekelezaji wa majukumu yao wahakikishe wanakuwa wawekezaji wa biashara na si wakwamishaji, kutoa elimu na kuwasaidia wafanyabiashara kujitambua nini wanapaswa kufanya ili kukuza na kuboresha biashara zao. Alisema katika kutekeleza lengo kuu kuwezesha biasha

Kampeni ya NMB MastaBata Kote-Kote yapata washindi 51

Image
Mshindi wa Kampeni ya matumizi ya Masrercard(Master bata kotekote) Bernard Matiku(katikati) akifurahi akiwa juu ya pikipiki aliyoshinda wakati wa kukabidhiwa, kushoto ni Mkuu wa Idara ya Biashara ya kadi NMB Filbert Casmir na Meneja wa NMB kanda ya Ziwa Baraka Ladislaus(kulia). Mshindi wa Kampeni ya matumizi ya NMB Mastercard (Master bata kotekote) Bernard Matiku(kulia) akipokea funguo wa pikipiki kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa Baraka ladislaus wakati wa hafla ya kukabidhiwa iliyofanyika jana, kushoto ni Mkuu wa Idara ya Biashara ya kadi NMB Filbert Casmir.Na Mpigapicha Wetu Mshindi wa Kampeni ya matumizi ya Masrercard(Master bata kotekote) Bernard Matiku(wa pili kushoto) akibonyeza kitufe ili kuwapata washindi wengine wa kampeni hiyo, wakati wa kukabidhiwa pikipiki yake, kushoto ni Mkuu wa Idara ya Biashara za Kadi  NMB Filbert Casmir  Meneja wa NMB kanda ya Ziwa Baraka Ladislaus(wa tatu kushoto) na Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya kubahatisha Erick Mremi(kulia) wakishuhudia. 

Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa wa Heshima ikiwa ni Shahada ya Udaktari wa Juu katika Humanitia na Sayansi Jamii kwenye Mahafali ya 52 ya Duru ya Tano katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa wa Heshima ikiwa ni Shahada ya Udaktari wa Juu katika Humanitia na Sayansi Jamii na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Mahafali ya Hamsini na mbili (52) ya Duru ya Tano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City tarehe 30, Novemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa Cheti mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa wa Heshima ikiwa ni Shahada ya Udaktari wa Juu katika Humanitia na Sayansi Jamii na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Mahafali ya Hamsini na mbili (52) ya Duru ya Tano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City tarehe 30, Novemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Sa

DKT. MPANGO ATOA WITO KWA TBA KUHAKIKISHA MIRADI YA UJENZI WANAYOTEKELEZA INAZINGATIA UBORA

Image
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa wakati alipowasili katika Hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba 3,500 za Watumishi wa Umma zinazojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) eneo la Nzuguni Jijini Dodoma. Tarehe 30 Novemba 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Daud Kandoro wakati akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba 3,500 za Watu

Rais. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022. Rais. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe. Ahmad Al Homaid, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid mara baada ya kuwas

MKURUGENZI MTENDAJI UNAIDS AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI

Image
  Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UKIMWI (UNAIDS), Bi. Winnie Byanyima amewasili nchini tarehe 27 Novemba , 2022.  Mkurugenzi huyo atakuwepo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi kuanzia Tarehe 28 Novemba hadi 6 Desemba, 2022.  Mara baada ya kuwasili nchini, Bi. Byanyima alipokelewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel Akiwa nchini Bi. Byanyima atashiriki Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yatakayofanyika Mkoani Lindi pamoja na kushiriki uzinduzi wa taarifa ya Hali ya Ukimwi nchini pamoja na kukutana na Baraza la watu wanaoishi na VVU (Nacopha).  Aidha, Bi. Byanyima, anatarajia kukutana kwa mazungumzo na viongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Mapinduzi. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UKIMWI (UNAIDS), Bi. Winnie Byanyima akiwasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Novemba , 2022 Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Sh

TWENDE NA SERIKALI NA SIYO TWENDE NA SAMIA- MWENYEKITI WAQ CHAMA SAMIA AWAAMBIA UWT KATIKA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI.

Image
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameutaka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kujipanga upya kimkakati katika kujiimarisha kiuchumi, kijamii na kisiasa ili kutimiza malengo, dira na shabaha ya jumuiya hiyo, katika kutataua changamoto za wanawake nchini, sambamba na kuwafungamanisha katika kutumia fursa za kujikwamua na umasikini na kujiletea maendeleo endelevu. Ndugu Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo (leo) Novemba 28, 2022 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa kumi (10) wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambao pamoja na mambo mengine utakuwa na ajenda ya uchaguzi wa viongozi wa jumuiya hiyo ngazi ya Taifa watakaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2022- 2027). Amesema kumekuwa na jitihada kubwa zinazofanywa na serikali za kuwaletea maendeleao wananchi katika nyanja za uimarishaji wa huduma mbali mbali za kijamii ikiwemo Maji safi na salama, Afya,