Posts

Showing posts from July, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MKUTANO TINDE, ISAKA NA KAHAMA MKOANI SHINYANGA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na   Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Mkoani Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka   mara baada ya Kuwasili Nzega mkoani Tabora jana kwa ajili ya ziara ya kikazi.     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Tabora Al-Haji Ramadhani Rashid katika viwanja vya   Stendi ya Nzega kabla ya kuhutubia mamia ya wakazi wa Nzega.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia   mamia ya wananchi katika viwanja vya Stendi ya Nzega wa mkoani Tabora jana. PICHA NA IKULU

JOSEPH SENGA AAGWA KISHUJAA DAR -FUATILIA KUAGWA KWAKE

Image
 Enzi za uhai wake joseph Senga, akimuonyesha Deus Mhagale mmiliki wa blog hii jinsi vipimo alivyotumia kupiga picha aliyoipiga wakati boti ya kutoka Dar es Salaam ikiwasili katika bandari ya Unguja. wapiga picha hao walikuwa katika mafunzo ya upigaji wa picha chini ya mwalimu judy ngwenye kutoka Afrika Kusini. kushoto ni Richard Mwaikenda, Mwanakombo Jumaa na nyuma ni Mambo hii ilikuwa mwaka 2002  Wafanyakazi wenzake wakiaga mwili wake Wapiga picha wakiaga mwili wake  lOWASSA, AKIZUNGUMZA NA kUBENEA  lOWASSA NA Nnape walipokuwatana msibani hapo Wakibadilishana mawazo  Ni huzuni kila sehemu ya wanahabari katika eneo hilo  Mbowe, akisalimiana na Lowassa  Mbowe na Naape  Komba na Liana huku Nderumaki na Mungi wakiteta  Mke wa marehemuj akiwasilieneo al kuaga mwili wa marehemu mmewe Kwa msisitizo  Mwili ukiwasili Wakisimama  wima wakati mwili ukiwasili  Waombolezaji Mama Kapama, akin