JOSEPH SENGA AAGWA KISHUJAA DAR -FUATILIA KUAGWA KWAKE

 Enzi za uhai wake joseph Senga, akimuonyesha Deus Mhagale mmiliki wa blog hii jinsi vipimo alivyotumia kupiga picha aliyoipiga wakati boti ya kutoka Dar es Salaam ikiwasili katika bandari ya Unguja. wapiga picha hao walikuwa katika mafunzo ya upigaji wa picha chini ya mwalimu judy ngwenye kutoka Afrika Kusini. kushoto ni Richard Mwaikenda, Mwanakombo Jumaa na nyuma ni Mambo hii ilikuwa mwaka 2002
 Wafanyakazi wenzake wakiaga mwili wake

Wapiga picha wakiaga mwili wake


 lOWASSA, AKIZUNGUMZA NA kUBENEA
 lOWASSA NA Nnape walipokuwatana msibani hapo



Wakibadilishana mawazo

 Ni huzuni kila sehemu ya wanahabari katika eneo hilo
 Mbowe, akisalimiana na Lowassa

 Mbowe na Naape

 Komba na Liana huku Nderumaki na Mungi wakiteta
 Mke wa marehemuj akiwasilieneo al kuaga mwili wa marehemu mmewe


Kwa msisitizo

 Mwili ukiwasili
Wakisimama  wima wakati mwili ukiwasili







 Waombolezaji

Mama Kapama, akinena





 Inocent mungy, akitoa salam kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
 Mpiga picha mkuu wa makampuni ya IPP, Selema Mpochi, akitoa salam kwa niaba ya wapigapicha za habari nchini
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika, akitoa salam
 Mbunge wa Ubungo, Kubenea, akitoa salamu

Mbowe, akitoa salam



ndugu wa Senga, Mzee Kapama, akitoa salam






 Lowassa akiaga

 Nnape, akiaga


 Mbowe, akiaga

Ndassa na Mgeja wakiaga

 Wabunge wakiaga



 Katibu mkuu Wizra ya habari akiaga



 Kibanda na Mwani wakimuaga

 Matina Nkhuru,  wa Vodacom Tanzania akimuaga



 Manyerere,akiaga
 Mulinda akiaga
 barnaba Magombera, akimuaga rafiki yake na mtani wake
Wafanyakazi wenzake wakimlilia

 Mke wa marehemu Winfrida
Watoto wa marehemu
Mke akimuaga kwa kupiga magoti





Wanandugu
jeneza likifunikwa
Wafanyakazi wenzake wakipiga picha ya mwisho kwa kulizunguka jeneza lake

 Hawa wakionge mbowe akimuwaza mfanyakazi wake senga

Askofu Gadi nae alikuwepo kumuaga rafiki yake
 Wapigapicha wakibebe jeneza lake baada ya kuaga kulipeleka kwenye gari kwa ajili ya safari ya kwenda Kwimba mkoani Mwanza
 Arodia na
 Safari ikianza kwenda kwimba
 mbunge Ndassa na wazamani wenzake




 Kibanda na usia


Nndassa, akimtambulisha dadaake kwa Kubenea na Nape

S1Wapiga picha wakibeba jeneza la marehemu Joseph Senga aliyekuwa mpiga picha wa gazeti la Tanzania Daima ili  kuliweka kwenye tayari kwa safari ya kwenda Wilayani Kwimba  Mkoani Mwanza kwa mazishi wanaoongoza mbele katikati ni Rafiki yake Mkubwa Deus Mhagale Mpiga picha wa Gazeti la Mtanzania aliyeshika Msalaba , kulia aliyeshika Shada la maua ni John Bukuku mpigapicha na  Mkurugenzi wa Blog ya Fullshangwe  na  kushoto aliyeshika picha ya marehemu  ni Joachim Mushi mpiga picha na Mkurugenzi wa Mtandao wa The Habari akiwa pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mablogger Tanzania TBN wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Sinza jijini Dar es salaam.
S2Deus Mhagale Mpiga picha wa Gazeti la Mtanzania kulia Mpiga Picha Loveness aliyekuwa mfanyakazi mwenzake na marehemu kwenye kampuni ya Free Media inayoendesha gazeti la Tanzania Daima na Mpiga Picha Halima Kambi kutoka Guardian  wakiwa wamebeba mashada ya maua na msalama.
S3 S4Deus Mhagale Mpiga picha wa Gazeti la Mtanzania akiaga mwili wa marehemu Joseph Senga na kushoto ni Mpiga Picha mkongwe Juma Dihule.
S5
Carthubert Kajuna Mpiga Picha na Mkurugenzi wa Blogu ya Habari na Matukio akiaga mwili wa marehemu Joseph Senga.
S6
Mpiga Picha wa Gazeti la Habari leo Robert Okanda akiaga mwili wa marememu.
S7
Mpiga picha Muhidin Sufiani akitoa hesgima zake za mwisho kwa marehemu Joseph Senga.
S8
Baadhi ya wapiga picha wakijadiliana mambo kadhaa.
S9

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.