Posts

Showing posts from November, 2016

MATUKIO MBALIMBALI MIAKA YA NYUMA HEBU JIKUMBUSHE

Image
 Leo nimeamua kuwaletea matukio ya picha mbalimbali nilizowahi kuzipiga siku za nyuma baadhi nikiwa papalazi wenzangu tukiwajibika sehemu mbalimbali, kama hawa ni papalazi walikuwa wakipiga picha  tukio la Miss Tanzania miaka ya 2005 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mwanayamala, Rajab Mwilima Mfwakwenda , akiwa katika hafdla ya kuwapongeza wajumbe wake waliofanikisha kuchaguliwa kwake hata hivyo fitna za viongozi wa wilaya ya kinondoni zilizokuwa zikiongozwa na KatibuMmwenezi wa wakati huo aliweza kuvuliwa uanachama kwa madai eti siyo raia wa nchi hiim hata hivyo alilejeshewa uraia wake na kumshitaki aliyemzushia hivyo na sasa hivi anadai mamilioni ya fidia. Waliokuwa vinara wa upinzani kutoka CUF, wakiktumikia chama cha mapinduzi baada ya kuhama walikokuwa, hata hivyo hivi sasa Tambwe hizza, kalejea upinzani sifahamu Msabaha salum yupo wapi  Waziri Mkuu Sumaye na Dk Ayoub Lyioba kwenye hafla ya kuchangia waandishi wa habari wanawake Mgaya kingoba, akichangia katika

Rais Dk. Magufuli hudhulia mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa mhitimu Hebson Opiyo Andala kutoka Rwanda wakati wa mahafali ya 31 ya chuo hicho yaliyofanyika kwenye kampasi ya OUT huko Bungo, Kibaha,  mkoa wa Pwani leo    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wahitimu wa  Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa  wakati wa mahafali ya 31 ya  Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye kampasi ya chuo hicho huko huko Bungo, Kibaha,  mkoa wa Pwani leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na  baadhi ya wahadhiri wakati wa mahafali ya 31 ya  Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye kampasi ya chuo hicho huko huko Bungo, Kibaha,  mkoa wa Pwani   Waziri Profesa Ndalichako, akihutubia mahafali hayo Rais wa