Rais. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022.

Rais. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe. Ahmad Al Homaid, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe. Hussain Hussain Ahmad Al Homaid mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Novemba, 2022.
 
 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.