MAMBO YA MOROGORO

Wafanyabiashara ndogondogo katika kituo cha Mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro wakiwauzia abiria waliokuwa ndani ya basi lililokuwa likitokea Dodoma kwena Dar es Salaam jana.
Msukuma mkokoteni akipita katika barabara ya Morogoro Mjini huku akuwa amebeba mabox ya Viberiti jana. 
Kutokana na kuanza kwa kunyesha kwa Mvua katika Mkoa wa Morogoro milima ya Urugulu imetanda ukungu mkubwa kama inanyoonekana katika

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.