MKUU WA WALINZI WA RAIS KIKWETE NAYE ADONDOKA

 Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Rais Jakaya Kikwete, Benedito Mashiba,akitoa neno la shukurani katika misa ya kutimiza miaka 25 ya ndoa yake iliyofanyika katika kanisa la St Peter jijini dar es Salaam.
 Akishikikliwa na familia yake baada ya kupepesuka huku mwadhama Kadinali pengo akishuhudia

Akibebwa baada ya kudondoka na kupelekwa sehemu ya mapumziko
Msadizi wake akilejea na viatu na koti lake baada ya kumuweka sehemu ya mapumziko baada ya dak 50 alilejea ukumbini baada ya kupata nafuu

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.