TENGANISHENI KATI YA AJENTI NA UANDISHI WA HABARI NCHINI----CHALAMILA

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akionja uji wa mbaazi ambao amedai ni mara ya kwanza kuunywa na kukiri utamu wake
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albart Chalamila, akikabidhiwa uji wa Mbaazi na Mjumbe wa DCPC, Ufoo Saro baada ya kufungua mkutano huo. Mkuu huyo alifulahia uji huo pamoja na keki za mbaazi zinazotengenezwa na Kampuni ya Maki Foods ya jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, akikalibishwa na viongozi wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) Mwenyekiti Sama Kamalamo (kushoto) na Makamu wake Salome Gregory kwa ajili ya kufungua mkutano Mkuu wa mwaka

VViongozi wa Chama hicho wakimpatia taarifa Mkuu huyo kanbla ya kwenda kufungua mkutano wao





Mkuu wa mkoa, akikabidhiwa zawadi ya uga wa mtama spesho kwa ajili  ya kupika uji





Afisa habari wa Mamlaka ya hali ya hewa nchini, akizungumza katika mkutano huo












Mwenyekiti wa DCPC, Sam Kamalamo akizungumza kab la ya kumkalibisha Mku wa mkoa kufungua mkutano

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albart Chalamali, Chalamila amekubali kuwa mlezi wa  Klabu ya wanahabari wa mkoa wa Dar es Salaam DCPC
Akizungumza na wanachama wa klabu hiyo katika mkutano mkuu wao  alisema yupo tayari  kuilea  na kushirikiana nao kwa shughuli mbalimbali za kimaendeleo, Mkuu huyo amebainisha kwamba wanahabari ni muhimu sana katika Dunia hii achiliambali Tanzania kwa hiyo basi hawana budi kuwa makini kwa kila habari wanayoitoa kwa wananchi na siyo ya kulipualipua, amebainisha kuwa atapenda kuwa na waandishi katika mkoa wake wenye kujituma na wawe wa kwanza kufika katika matukio kwa ghhalama zao na siyo kwa kutegemea kusafilishwa na mtoa habari, kufanya hivyo ni kukalibisha kuandika habari za aliyekufadhili. Aidha Klabu hiyo imemkabidhi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,zawadi ikiwa ni shukurani kwa kuruhusu uhuru wa vyombo vya habari .

Viongozi wa Kamati Kuu ya Klabu hiyo wakiwa mkutanoni wakimsikiliza mkuu wa mkoa
Chalamila, akisisitiza jambo






Mkuu wa mkoa akimkabidhi Kayombo kwa kuitambua TRA kwa ufadhili wa klabu hiyo pamoja na wafadhili wengine



Mkuu wa mkoa akimkabidhi Yahya Chalahani wa NHC kuishukuru kwa  kudhamini mkutano huo






Katibu Mkuu wa DCPC Fatma jalala, akizungumza katika mkutano huo

Zawadi za Rais Mkuu wa mkoa akiziangalia kabla ya kukabidhiwa

Mwenyekiti wa Klabu hiyo Sam Kamalamo, akimkabidhi Mkuu wa mkoa cheti cha shukurani kwa kukubali kuwa mrezi wao

Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo ikipiga picha na Mkuu wa mkoa
Wajumbe wa Mkutano huo wakipiga picha  na Mkuu wa mkoa


Ufoo Sallo, akiteta na Mkuu wa Mkoa pamoja na wajumbe wenzake
 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.