BUNGENI DODOMA



Mbunge wa viti Maalumu (CCM) Esther Bulaya akichangia bungeni Dodoma jana wakati wa kujadili taarifa za kamati zilizowasilishwa juzi.Picha na Silvan Kiwale
 


Mbunge wa viti Maalumu (Chadema) Cecilia Pareso akichangia bungeni Dodoma jana wakati wa kujadili taarifa za kamati zilizowasilishwa juzi.
 Mbunge wa Bariadi Mashariki,John Cheyo akizungumza na Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Nkuya, nje Bunge Dodoma jana baada ya kuahirishwa.Katikati ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Adam Malima
 Waziri mpya wa Uchukuzi Samuel Sitta akisalimia baada ya kuhudhuria kikao cha bunge Dodoma jana kwa mara ya kwanza baada ya kushika wadhifa huo

Mbunge wa Sumve (CCM), Richard Ndassa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),Jenister Mhagama  nje Bunge Dodoma jana baada ya kuahirishwa
 Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) Godbles Lema akichangia bungeni Dodoma jana wakati wa kujadili taarifa za kamati zilizowasilishwa juzi

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akijibu maswali yaliyoelekezwa kwenye wizara hiyo na wabunge Dodoma jana wakati wa kipindi cha maswali na majibu
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akitoa ufafanuzi wa kisheria bungeni Dodoma jana wakati wakati wa kujadili taarifa za kamati zilizowasilishwa juzi

Mbunge wa  Simanjiro (CCM) Christopher Ole Sendeka (kulia) akizungumzana mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) nje ya bunge Dodoma jana baada ya kuahirishwa 
 Mbunge wa viti maalumu (CCM) na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii Magreth Sitta akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),Jenister Mhagama  Bunge Dodoma jana wakati wa kikao cha kujadili taarifa za kamati zilizowasilishwa juzi
 NAIBU Waziri wa Chakula, Kilimo na Ushirika, Godfrey Zambi  akisoma taari fa ya serikali kuhusu mkakati wa kutatua changamoto za soko la sukari nchini bungeni Dodoma jana

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.