KICHAPO CHA POLISI KWA WAFUASI WA CUF NA MWENYEKITI WAO PROFESA LIPUMBA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, akiwapungia mkono wa kwaheri wafuasi na wanachama wa chama chake baada ya kuingizwa kwenye gari la polisi kulepekwa mahabusu ya polisi kituo cha kati kwa madai ya kukamatwa akiandamana na baadhi ya wafuasi wake
 Askari kazu akimlinda kama mhalifu wa kimataifa



 Patashika ya askari kazu na wanacuf wakipinga mwenyekiti wao asikamatwe




 Wafuasi wakipandishwa kwa nguvu na bakora juu


 Wakipelekwa kupanda karandinga

 Mfuasi wa kike nae akipelekwa sambamba na wenzake

Profesa akiwasihi askari hao hata hivyo hawakumsikiliza
 HAKIKA KIPOGO KAMA HIKI hakuna ambaye anaweza kuvumilia ipo siku watanzania wanaopigwa pigwa hivi watachoka lolote linaweza kutokea kama askari kama hawa ambao hawatumii akili, kazi yao kupiga tu  rai akiweza kuwapokonya bunduki lolote linaweza kutokea , siombei litokee hilo lakini nasihi askari kama hawa hawafai kuajiliwa katika jeshi lenye wasomi wastarabu wenye kudai kutii amri bila shuruti. kwanini raia asiyekuwa na silaha apigwe kama myama aliyekataa kukokota jembe la kulimia  hata nchi za wenzetu zenye vulugu zilianza hivi hatimae zikawa hazikaliki  shime shime. angalia askari huyu mwenye nyota kulia anavyochekelea mtanzania mwenzake asiyekuwa na hatia akipigwa na askari wake na yeye akimshushua bakora tena kichwani anashushiwa kipigo na askari watano


 Kama ukanda wa gaza vile

 Huyu ni papalazi wa gazeti la jambo nae pamoja na kuwa na kitendea kazi chake Kamera alikumbana na adha hiyo ya kukamatwa
 Askari hawa hawachagui pa klupiga kama inavyoonekana wanavyopiga unaweza kuwa mwendawazimu na kipigo hiki


 Waliamua kuwacholopoa kwenye magari kama wanavyoonekana ili wawadhalilishe kwa kipigo

Askari huyu anatamani hata kungoa kitasa cha gari ili aingia kwa haraka na kutembeza kipigo




Kipigo kama hiki je kweli kinakubalika kimataifa

 kachaniwa shati na anashushuwa kipigo kavu kavu


 Askari kapandwa na munkari huku akiwa amejipamba na mabomu
 Walete tuwachapeee
 Hawachagua teke na kila aina ya kupiga wao twende
 Kipigo kinapozidi ilibidi ajitete kwa kukimbia


 Baada ya kushushwa kwenye gari lake na kupandishwa kwenye gari hili je siyo udhalilishaji na chama chake kinauda serikali ya umoja wa Kitaifa huko Tanzania Visiwani














 Wakitafuta wengine





 Papalazi huyu akidhalilishwa nae akiwa  chini ya ulinzi

Hakiiiii











 Akijifuta jasho baada ya kutembeza kichapo kitakatifu




 Wameshindiliwa kwenye usafiri  wa mbanano kama inavyoonekana


 Hakika ni kudhalilishana
Kwa kicheko baada ya kichapo askakri wakichekelea kama walichokifanya kinamanufaa kwa jamiii
 Gari la mwenyekiti likipekuliwa



 Wafuasi wakiangalia kwa uchungu







 Mwanzo wa kichapo baada ya tangazo hili








 mabishano barua yenyewe ya zuio la mkutano mmetupa leo na sisi tunaenda kwa wafuasi wetu tupeleke ujumbe .. hapana tii amri




 Kichapo tu hawakujali hata kama ni mwenyekiti

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.